Alikuleta mamako kwa njia gan?
ndiyo mkuu ila niswali tu nimeuliza ila kama nimekuuzi sorryAcha upumbavu wewe kicheche usione umemaliza humu masaa mawili ukadhani una uhuru kiasi hicho.
Uzingatie maadili ya kitanzania uwapo humu.
Ujiheshimu ukiwa humu, hujui mama zetu walituleta kwa njia gani?ndiyo mkuu ila niswali tu nimeuliza ila kama nimekuuzi sorry
nisha jiheshimu ila doh hatari humu napaogopa ka policUjiheshimu ukiwa humu, hujui mama zetu walituleta kwa njia gani?
Huku duniani unafanya nini?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Hapana lile linawekwa kwa matapeli. Popote ukiwaona niambie.Nilijua Utaweka lile bango la utapeli
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Hapana lile linawekwa kwa matapeli. Popote ukiwaona niambie.
Ubaharia mzeeHuku duniani unafanya nini?
Asante mkuuHappy birthday Kaka.
Asante mkuuHongera Kwa Kuongeza Uzee Mkuu
Asante mkuuHongera