Leo ndio nimeamini wanandoa wakikaa muda mrefu nyuso zao hufanana

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,472
4,427
2c3565f8ca96167d784b2677ac4af08b.jpg

764c1d9fba6eb6cad11468e80534d150.jpg
 
Hamna kufanana hapo mkuu, ila kilichopo ni ukiiset akili yako kwamba watu hawa wanafanana bas na macho yataona hivyo.

So ni swala la kuiset akili na ukiiaminisha na huo msemo basi huwa hivyo, Mfano anko mtata apo na mkewe bi J hawafanani ata kiduchu.
 
eti anko mtata
 
Hivi huwa wanafanana sura au tabia na mwenendo? Kama wasemavyo: Ndege wafananao ndio warukao pamoja.
 
Ni kweli hii ipo hasa kwa married couples walioishi kwa muda mrefu,inaitwa kitaalamu Convergence of appearance.
 
Back
Top Bottom