Hivi ni nani ameziba nafasi ya Tambalizeni ccm ?
Kaa kimya tulizana,Ni hiki kimbilikimo kilichotupia hapa
Hizo hadithi ukucha,Beni yupo katulizwa,ww hofu ya nn
Chakula kizuri apewa,huduma zote hata malazi
Siku atakapo kuja,lazima kuusema ukweli
Ben yupo salama,kapumzishwa mahal
Muda utakapo fika,nyumban atarejea
nimewavulia kofia wanajamvi JF hawashindwi na jambo, wameamua 'kunata na biti' hadi wamemfunika mshairi mwente uzi wake.Aisee kumbe JF tuna akina Adanenga wengi