Leo natubu: My Confession Ndugu Zangu

Leo natubu: My Confession Ndugu Zangu

Hapo mwisho umenena. Cool [emoji111][emoji111]
Wewe sio mwanaume. Haya mambo wanafanya vijana wa kiume wewe jinsia KE unaweza ona ajabu sana.

Kama hujui uhusiano wa umri na matendo basi tusiendelee kujibizana. Let us agree to disagree.
 
Daaa kama mie huko nzega kitoto cha kiarabu kilinipenda balaa.Tofauti ni sikukipa mimba Ila niliondoka na sikujali wakati kamekoleaaaa Kwa mahaba na mikazo adhimu.Sema nilikuwa na mzuka wa kwenda huku Cambodia.Saa hii hakapatika wala nini.Naumia natamani nionane naye,mbaya zaidi hata picha sina,mitandaoni hakapo.Ipo siku nitafika hadi kwao,uzuri napajua.Hata kama kaolewa nimwone tu basi.Forgive me my S.
 
Wewe utaconfess lini wale watoto uliotafuna hapa JF?
Daaa kama mie huko nzega kitoto cha kiarabu kilinipenda balaa.Tofauti ni sikukipa mimba Ila niliondoka na sikujali wakati kamekoleaaaa Kwa mahaba na mikazo adhimu.Sema nilikuwa na mzuka wa kwenda huku Cambodia.Saa hii hakapatika wala nini.Naumia natamani nionane naye,mbaya zaidi hata picha sina,mitandaoni hakapo.Ipo siku nitafika hadi kwao,uzuri napajua.Hata kama kaolewa nimwone tu basi.Forgive me my S.
 
Hebu taja na herufi ya pili isije kuwa screpa niliyonayo hapam
 
wewe walau umeona kosa na kukiri kufanya kosa Mungu pia umemkosea maana ameharamisha hayo mambo kwenye dini zote, mimi na wewe tukae pembeni kumuomba Mungu msamaha kwa makossa tunayofanya. Lakini kwa mtazamo wangu hakuna jambo baya Zaidi kama kutoa bikira ya mtoto wa kike kisha kumkimbia..... ni dhambia mbaya kabisa, maana kutokea hapo kila kinachopita pale wewe ni mfunguaji. Ni dhambi ambayo itakutafuna uhai wako wote. Zenji kuna jamaa namjua alitoa bikira ya mtoto wa watu kitemi kweli alitumia nguvu mtoto wa watu damu kibao, jamaa kwenye geto la kuazima akakimbia, moja kwa moja panda boti za baharesa kakimbilia dar, kwa vile kwao hela sio shida sana wazazi wakafanya mipango jamaa kakimbilia UK, Mungu si Athumani yule mtoto aliokolewa na majirani akatibiwa kwa miezi 3 akapona. Miaka 12 jamaa karudi kamtafuta yule demu sasa kaolewa na familia nzuri tu Jamaa anamuomba radhi binti, jamaa analia kama mtoto mdogo binti macho makavu anamuangalia tu, mwishowe binti kamsamehe. Jamaa hakuamini, furaha yake kawapa wazazi wa demu mil 5 na demu kanunuliwa gari na bado jamaa anaona haitoshi. Jamaa anakwambia kwa miaka 12 dhambi ile ilimtafuna sana sana.
 
Mkuu mimi sijamtoa bikra.
 
Back
Top Bottom