Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,488
Kwa hiyo umezeeka?Tulia Phoenix....ujana maji ya moto sana. Dawa yake kuuvuka salama tu na nashukuru nilivuka.
Kwa hiyo umezeeka?Tulia Phoenix....ujana maji ya moto sana. Dawa yake kuuvuka salama tu na nashukuru nilivuka.
Umeoa?Huko nilikua twenties. Sasa hivi nishagusa 30s nishakuwa mtu mzima.
Mzee, nimesoma story yako nikagundua nina mengi ya kutubu... acha tu!Hahaha! Ukiwa kijana kuna mengi unapitia.
Kwa mfano unaoa,kumbe hujui kuwa mkeo alishatoa mimba kadhaa..My long time gf yule niliyekwambiaga namchukuliaga kama mke wangu.
Dada Phoenix, mwanamke yeyote ambaye hukumkuta bikra jua kuna mengi ameshafanya. Tunafumba macho tu na kuomba Rehema za Mungh. Ukweli wanaojua wenyewe wanawake.Kwa mfano unaoa,kumbe hujui kuwa mkeo alishatoa mimba kadhaa..
Sasa hapo unakuwa umeoa mama mfiwa,ambaye angekuwa single maza ila akapata akili ya haraka haraka ya kutoa?
Rehema za Mungu tu ndo Jawabu.Dada Phoenix, mwanamke yeyote ambaye hukumkuta bikra jua kuna mengi ameshafanya. Tunafumba macho tu na kuomba Rehema za Mungh. Ukweli wanaojua wenyewe wanawake.
Pm sipajui mimi.wewe njoo PM. Kuna habari hazipaswi kukaa hapa.
Alafu mnakuwaga wa kwanza kuwananga single maza na kuwatusi.At the end hawa ndio wadada wakifika 28-30yrs tunaoa, kumbe vijana mmeshawaharibu hadi kuwatoa mimba kadhaa.
Inasikitisha sana lakini wengi tumepita huko na kufanya hayo.
Acha kuwananga single mazas,Hata wewe usinihukumu. Chukulia nimebalehe nikiwa 16 mpaka leo niko 30s nimepitia mangapi?
Tusinyoosheane vidole.
Kwani wote wenye miaka 30 sasa hivi wamepitia hayo uliyopitia wewe? Hii inaonyesha mambo uliyofanya uliyafanya kwa makusudi tu ungeweza kuyaepukaHata wewe usinihukumu. Chukulia nimebalehe nikiwa 16 mpaka leo niko 30s nimepitia mangapi?
Tusinyoosheane vidole.
Mengi sanaa,Hata wewe usinihukumu. Chukulia nimebalehe nikiwa 16 mpaka leo niko 30s nimepitia mangapi?
Tusinyoosheane vidole.