Leo natubu: My Confession Ndugu Zangu

Kwani wote wenye miaka 30 sasa hivi wamepitia hayo uliyopitia wewe? Hii inaonyesha mambo uliyofanya uliyafanya kwa makusudi tu ungeweza kuyaepuka
Dada eeh maisha ndivyo yalivyo. Wewe hujawahi kukosea?
 
Kuna demu mmoja Yuko mtaani Kama beki 3 pale ninapoishi.

Ni standard seven kielimu but kusema ukweli naona Kama Ni zaidi ya Hawa degree holder...

Biashara anajua Tena Yuko njema Hadi nasalute
Adabu ndio usiseme. Na sio kuigiza nimefanya uchunguzi wa kutosha...
Mcha Mungu balaa.
Kila kitu Yuko furesh natamani nikiweka Mambo sawa nivute ndani ila Sasa kasoro hapo kwenye elimu....

Kwa nini nahofia elimu:---
Kuna jamaa yangu flan namfahau yeye alikutana na mazingira Kama haya ya kwangu hivyo hivyo, yeye ana elimu ya masters, na mwanadada Ni standard 4..

Kuweka ndani jamaa baada ya muda analalamika kwamba mke wake hawazi Mambo kwa kina, sometimes unakuta Ni harakati za kazi ukimuelewesha mke haelewei......

Jamaa anawaza project kubwa mke haoneshi ushirikiano anachofikiria Ni biashara ndogondogo za rejereja, ambazo alimkuta nazo,

Inafika time anaona kabisa hapa naweza kufa maskini

Mke hajabadilika ila kwenye maswala ya reasoning na kufikiri Mambo ya maisha kwa upana bado sana.... Sasa nawaza je Ni kwa wote Hadi kwangu inaweza nitokea au Ni zali la jamaa tuu mi niijaribu bahati yangu.

Unataka kujaribu sumu kwa kuiramba
 
Alafu mnakuwaga wa kwanza kuwananga single maza na kuwatusi.
La muhimu kila mtu aolewe na alozaa naye hata kama kwa mtutu kupunguza matusi.

Kama umezaa na wanawake wawili inakuwaje hapo, au unaoa wote? Afu kuna yule kazalishwa na wanaume wawili
 
hakuna mtu ambae hajawahi kukosea. Tatizo ni pale mtu anapohalalisha makosa aliyofanya kwa kisingizio cha umri
Hivi hakuna vitu vinatendeka sababu ya umri?
Unadhani leseni ya kuendesha gari ya abiria class C inatolewa kwa mtu mwenye umri kuanzia miaka 30?
 
Hivi hakuna vitu vinatendeka sababu ya umri?
Unadhani leseni ya kuendesha gari ya abiria class C inatolewa kwa mtu mwenye umri kuanzia miaka 30?
Sijui mimi hayo mambo ya leseni lakini umri isiwe kisingizio cha kufanya mambo ya kipumbavu. Umefanya mambo ya kipuuzi kubali tu kuwa ulikuwa mpuuzi maana huo umri hakuna aliyeuruka wote tuliupitia lakini je wote tulifanya hayo uliyofanya wewe?
 
Sijui mimi hayo mambo ya leseni lakini umri isiwe kisingizio cha kufanya mambo ya kipumbavu. Umefanya mambo ya kipuuzi kubali tu kuwa ulikuwa mpuuzi maana huo umri hakuna aliyeuruka wote tuliupitia lakini je wote tulifanya hayo uliyofanya wewe?
Wewe sio mwanaume. Haya mambo wanafanya vijana wa kiume wewe jinsia KE unaweza ona ajabu sana.

Kama hujui uhusiano wa umri na matendo basi tusiendelee kujibizana. Let us agree to disagree.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom