Leo natia heshima bar!

Akimaliza hapo, haja kubwa inakuwa na sugartest, mkojo mpaka ushuzi utakuwa sugar test. hata jasho litakuwa na sugar test.
 
Naona wadada kwa pembeni wamesimama kwa heshima!!
 
Hiyo ni chai au coke niijuayo mimi mkuu

Ulikuwa unakunywa na magnesium nin au andrews ilikuwa pembeni.. Maana gesi yake hapo mtwara cha mtoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…