Leo napiga kwa mara ya mwisho

Leo napiga kwa mara ya mwisho

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,854
Aisee hakuna mchezo mbaya Kama Nyet huwa inaanza Kama utani tu lakini Kuacha ni mithani..Ubaya Ukishakuwa addicted kila siku unajisemea Leo napiga Mara ya mwisho..! Miaka inaenda kuacha unashindwa ukicheki na Mechi nazo ukipata Unacheza vizurii tuu... Mungu awaokoe vijana na hilii pepooo.
IMG_20181006_140036_259.jpg
 
Aisee hakuna mchezo mbaya Kama Nyet huwa inaanza Kama utani tu lakini Kuacha ni mithani..Ubaya Ukishakuwa addicted kila siku unajisemea Leo napiga Mara ya mwisho..! Miaka inaenda kuacha unashindwa ukicheki na Mechi nazo ukipata Unacheza vizurii tuu... Mungu awaokoe vijana na hilii pepooo.View attachment 888452
Nyeto fo life wengine wanasema ivi kuna mwanaume hajapiga hii kitu
 
Back
Top Bottom