Leo nakesha nadownload xmass songs

Leo nakesha nadownload xmass songs

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,829
Aliemacho anipe company ntamgawia masongi ya xmass...nshayashusha kama 30 hadi sasa
 
Kumbe kushusha masongi !
Mi nilidhani ushashusha nafaka!
Btw good work! Kazana kushusha .
 
Naomba unitumie ngoja nikupe whatsap yangu. usisahau Haleluya kuu
 
Msijali kwa mlio mbali ntaziweka kwenye mp3 niwape ofa ya kuwatumia kwa njia ya bus...ila kwa walio near Iringa tuwasiliane niwapatie
 
Naomba unitumie ngoja nikupe whatsap yangu. usisahau Haleluya kuu
Nimeipata ngoja ntakutumia baadae,ila ni nyingi maana bado naendelea kuzishusha kama upo jirani na Iringa naweza kukuwekea kwenye cd nikutumie
 
Back
Top Bottom