Una maanisha nini?
Mbona akina "mitutu ya bunduki" woooote hawamchoki; badala yake wamewachoka waTanzania. Huoni jambo la kushangaza sana hapo?
Napenda sana kukubaliana na wazo lako, lakini sina maelezo kwa nini hii mitutu haimchoki!
Hivi inaingiaje akilini, kwamba hii mitutu inayoelekezwa kwa "waliomchoka", hakuna hata mmoja unaoelekea kuwa upande kwa hawa wachokaji!.
Utalielezeaje hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.