Leo mvua inanyesha Dar

Leo mvua inanyesha Dar

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
1017348_531451483557636_1077444562_n.jpg
 
Zenji mvua nako.

Ajabu jumapili hainyeshi kama hii walau tukalala mpk saa 2
 
Hapa ndipo Maneno ya Lowassa yanatimia kuwa watanzania wengi........ ngoja nisubili na wengine watililike nifanye mlejesho....
 
imenifanya nimechana sketi wakati wa kuruka madimbwi, nikiwa naelekea ofisini yani nimejifunga kikoi tokea asubuhi majanga matupu haya.....
 
Back
Top Bottom