Tano na nusu...
Njoo ulimong'onyoe uno na vibao kama Boko, Kachiri, Njenje, Kinyaunyau, Mdoo, Tupendane, Gere, Nchecheme na vingine vingi...
kauli mbiu ya Njenje ni ''once your in, always in''
So kama ukija leo basi hutokaa ukose Jumamosi zote zinazofuata, labda tu kwa udhuru maalum.
Wastaarab wa Dar utawakuta Salender...
Hakuna ngumi, kurushiana chupa wala tashtiti nyingine.
napenda sana Mdoo.....hv ule si mdumange.....naupenda mdumange.....
mbona vitu vidogo,ibuka basipatron....tequila.....anejo....por favor.....
kwani leo si ndo siku ya kuogelea......?
chit chat choka mbaya.....lala wote....