Leo mpo wapi.....?

Daaah niko kwenye lindo!
Yan full mbu hadi raha!
 
..umeona...?na kiji "wivu"..kako...hahahaha

bebii....unajua sipendi.....wakati tunataka kuongea mambo yetu....watu wanaingili....sipendi ujue......
 
Nipo Manzese kwa mfuga mbwa, nakamata kilaji aina ya pingu....Life is good!.
 
Nipo Manzese kwa mfuga mbwa, nakamata kilaji aina ya pingu....Life is good!.

LG.....nini bana....maisha yenyewe ni yapi....chaaa....nani kalala......?
 
hv ni kwamba mlilewa au.....?...ngoja nikasake zangu supu saa hii.....wana chit chat mmeniangusha sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…