min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,907
- 169,945
Tuma hapa , dm yangu ni kwa biashara na watoto wazuri wa hapa tu bwasheeWapo wapo ntakutumia dm uone
Tuma hapa , dm yangu ni kwa biashara na watoto wazuri wa hapa tu bwasheeWapo wapo ntakutumia dm uone
Bwashee achana na hizo , wewe kula maisha ila usitake kushindana na mimi , mademu wako wa Singapore hawazidi bia yangu moja , ni vile wewe ni mshamba tu na unayo pesaHaha Hapana hapa watu ninao walomba wakiona picha wanasaka wahusika na kuwa text ! Mi Nataka nikutumie zao faragha kabisa
Kumekucha!Bwashee achana na hizo , wewe kula maisha ila usitake kushindana na mimi , mademu wako wako wa Singapore hawazidi bia yangu moja , ni vile wewe ni mshamba tu na unayo pesa
ila angalau unajitahidi kuliko nyumbu wengi humu
Haka kajamaa ni kajamaa yangu , kanafanya vizuri kwenye kusaka pesa ila kana ushamba fulani , acha nikapeleke mjini kaone maghorofa 😅Kumekucha!
View attachment 3626711
Kaache katakaa sawa tu bwana!Haka kajamaa ni kajamaa yangu , kanafanya vizuri kwenye kusaka pesa ila kana ushamba fulani , acha nikapeleke mjini kaone maghorofa 😅
Ila mwamba anatamba mda tu , namkubali kwa sababu ni kati ya wana wachache mno wa kitambo hichoKaache katakaa sawa tu bwana!
Aendelee kutamba tu hakuna namna!Ila mwamba anatamba mda tu , namkubali kwa sababu ni kati ya wana wachache mno wa kitambo hicho
Sana seran , kuna ka uzi nafikiria nikuanzishie kesho ,kama vijana wa hovyo , na ka captain Morgan changu hapa naweza zugia😛Aendelee kutamba tu hakuna namna!
Ukasindikize na kamuamala tu😁Sana seran , kuna ka uzi nafikiria nikuanzishie kesho ,kama vijana wa hovyo , na ka captain Morgan changu hapa naweza zugia😛
Sheinz😁Nimewafuata club, wamependeza sana
Usijali 😁😁 napenda ngoma ya salima ya mbosso hatariUkasindikize na kamuamala tu😁
Salima tena! Sio Ozalima?Usijali 😁😁 napenda ngoma ya salima ya mbosso hatari
Sijui hata inasemaje ila ile ngoma napenda mno 😄Salima tena! Sio Ozalima?
Unaipenda na hujui inasemaje😅Sijui hata inasemaje ila ile ngoma napenda mno 😄
Hii ni Hoax.Bwashee achana na hizo , wewe kula maisha ila usitake kushindana na mimi , mademu wako wa Singapore hawazidi bia yangu moja , ni vile wewe ni mshamba tu na unayo pesa