Leo lazima kinuke

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu hiyo kata ikiwa na pombe kuna namna ya kumgeuzia mzee wakati unampa alafu huruhusiwi ikae ukiwa nayo mkononi sharti yule ulomkuta hata kama hujui unampa anapokea anakunywa hapo kidogo anaishikilia kidogo ndo anakupa[emoji13] [emoji13]
 
Mimi hiyo ya kwenye ndoo ndio brekifasti, lanchi na dina yangu kila Siku, nili- ihamu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…