Lukansola
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 5,435
- 1,611
Hamjambo?
Leo nikiwa maeneo ya mwenge niliona watu kadhaa wakiwa wamekusanyika, walikuwa kwenye mhadhara, mhadhara wa kidini.
kilichonisukuma kuleta uzi huu ni jinsi ambavyo mtoa mada alivyokua akitumia kitabu na kuzungumzia dini tofauti na yake. badala ya kufundisha kuhusu dini yake.
nilishangaa sana.