LEO KATIKA KUMBUKUMBU

LEO KATIKA KUMBUKUMBU

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
923
Reaction score
794
IMG-20260924-WA0009(1).jpg

Tarehe 24 Septemba 2024

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Mtyangimbole, katika eneo la Kibilang’ombe, Madaba, mkoani Ruvuma.

Katika tukio hilo, Rais Dkt. Samia:

-Aliweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Mtyangimbole.

-Alipokea maelezo kuhusu mradi huo.

-Alizungumza na viongozi pamoja na wananchi waliohudhuria tukio hilo.
 
View attachment 3676860

rubbish!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom