Leo katika Historia: Barabla Antarctica, Kweli 09 za kukuongezea ufahamu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,763
5,591
Antarctica.jpg

1;Ni jangwa kubwa kuliko yote duniani likifuatiwa na sahara.
chanzo:List of deserts by area - Wikipedia, the free encyclopedia
images

2:Ndio bara pekee duniani lisilo na wanyama aina ya REPTILIA. Mfano MIJUSI
chanzo:Reptile - Wikipedia, the free encyclopedia
800px-fryxellsee_opt.jpg

3:asilimia 90 ya maji masafi kabisa duniani yanapatikana Antarctica
chanzo:BBC Earth - Antarctica - Technology reveals the secrets below the ice
atm.jpg

4:Huko kuna ATM MAchine Moja tu bara zima.
chanzo:McMurdo Station - Wikipedia, the free encyclopedia
900px-Villa_Las_Estrellas.jpg

5:Nchi ya Chile ina mji wa kiraia huko antarctica. wenye shule, hospitali,hostel,ofisi za posta, internet,TV na Mtandao wa simu.
chanzo:Villa Las Estrellas - Wikipedia, the free encyclopedia
Drill_for_victory.jpg

6: Kuna maziwa zaidi ya 300 katika bara hili, mengi yako chini ya barafu muda mwingi. Kinachosababisha yashindwe kuganda ni joto kutoka kaikati ya dunia (earth's core)
chanzo:By Accident, Scientists Discover Lakes Beneath Greenland
8433925830_955be16415_c.jpg

7:Kuna Makanisa kama Saba hivi ya kikristo katika bara hili msikiti sina taarifa hadi sasa.
chanzo:The Seven Churches of Antarctica
antarctica.jpg

8:Ni asilimia 1 tu ya bara zima ndio haina barafu, karibu sehemu zote zilizobaki ni barafu.
chanzo:Human Activity Threatening the 'Last Wilderness on Earth'
facts-about-antarctica-Emile-Marco-Palma-first-born-child-in-southernmost-Antarctica.jpg

9:Mwaka 1977 Nchi ya argentina ilimpeleka mama mjamzito katika bara hilo, ili ajifungue huko katika harakati za kugombania ardhi. Ndio akawa binadamu wa kwanza kuzaliwa huko ikumbukwe huko kuna nchi nyingi zinamiliki maeneo. mfano australia wanasisitiza nusu ya bara hilo ni yao.
chanzo:Emilio Palma - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Back
Top Bottom