Leo Karibuni Huku.

Afrodenzi wewe ni paparazi nini...du umezitoa mpaka basi!
 
Acha wauze tu!!
hawa jamaa wa mtwara si ndo hawaelewi nini kinaendea as far as wanajipatia kitoweo cha bure baharini??.......


Jamaa wavivu balaa. Yaani wenyewe wakishapa hao samaki wawili,watatu,basi. Wanaweka matumbo yao mabarazani na kucheza bao siku nzima iliyobaki.

Kuwapa elimu watoto wao hususani wa kike wanaona kama maajabu ya dunia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…