Leo jua limeniwakia

Hongera sana. Maisha ni siri kubwa cha msingi amini kuwa Mungu atakusaidia. Hachelewi wala awahi.
 
Unafurahia , umeletewa zawad ya kistarlet basi mtaani hapakaliki
 
Mungu anatenda nam zam yang itafka tu
 
Sasa unatakiwa ubadili jina ujiite miss nimepata
 
Nishirikishe tushirikiane [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Habaari yako imenipa moyo sana.
 
Hapa itakuwa umepata kazi tu.. maana mjomba Magu alivokaba penati na pesa, kitendo chochote cha kupata kazi lazima kifurahiwe kwa namna yoyote ile. Bisha kama nimesema uongo...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hongera zako Miss Natafuta. Kwa hiyo kuanzia sasa unaitwa Miss Nimeona, au siyo? Au nimeelewa vibaya?
 
Hongera sana,ahsantee kutupa moyo, nna jambo nilikua nimeanza kukata tamaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…