Leo jua limeniwakia

sijakutukana lkn samahani kama umekwazika
Sawa mamii,umeshinda na nimekusamehe,ila kuna kiumbe humu anajidai eti kani-block atiii basi asijidanganye,na wala sina mpango na sura ya chapati ilioungua.
 
Sawa mamii,umeshinda na nimekusamehe,ila kuna kiumbe humu anajidai eti kani-block atiii basi asijidanganye,na wala sina mpango na sura ya chapati ilioungua.
Ndo mana basi nashangaa unajibu ww
 
Ndo mana basi nashangaa unajibu ww
Labda nikufafanulie kwa ufupi,mimi niliandika kukwambia natamani ningekuwa karibu yako kwa urembo uliojaaliwa,i mean you are cute,lakini wewe ukaanza kunirushia maneno kuhusu Miss Natafuta,mimi sikuwa na lolote kuhusu Natafuta,nilikulenga wewe na kukupa sifa lakini ukasema mimi sio mzima,sawa inawezekana ulielewa vibaya,hata hivyo nakuja kuona mtu mwingine anajitapa eti kani-block mazafanta,mimi Karanja sio mbwiga anavyofikiria,angenjiua kiuhalisia asinge hata waza alichokiwaza fanculo.
 
Ndo mana basi nashangaa unajibu ww
Jamii Forum ni social media ambayo ni burudani kwa namna fulani,lakini inafika wakati watu tunaanza kuchafua hali ya hewa kimtindo,anyway let amani itawale.
 
wewe karanja nilichoshangaa mm nachat na miss natafuta na ww umetokea ndo mana nikashangaa nimeshaelewa kumbe nyie hamuonan
 
Nahisisi umeshalalia new Bad,,,OK Ota tupo.wote ,,Dubai kwenye upepo mkali ,,
 
Nahisisi umeshalalia new Bad,,,OK Ota tupo.wote ,,Du
bai kwenye upepo mkali ,,
 
Umeota umenunua kitanda? Utapata tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…