Leo JF WOTE TUTAKUWA HUKU!

Leo JF WOTE TUTAKUWA HUKU!

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Posts
4,492
Reaction score
1,314
Masaa machache yamebaki kuachana na huu mwaka

Hii ni siku nzuri yakujumuika na kumshukuru mungu kwa kutuvusha mwaka

Wapendwa wana JF wapi mtakuwa leo?
 
Masaa machache yamebaki kuachana na huu mwaka

Hii ni siku nzuri yakujumuika na kumshukuru mungu kwa kutuvusha mwaka

Wapendwa wana JF wapi mtakuwa leo?
Mkuu,
Kimsingi una hoja nzuri sana...
Lakini labda niweke tofauti hoja yako...
Ungeanza kwa kusema wewe utakuwa MAHALI FULANI..then ndo wengine wangehamasika kukwambia watakakokuwa...
 
mkuu,
kimsingi una hoja nzuri sana...
Lakini labda niweke tofauti hoja yako...
Ungeanza kwa kusema wewe utakuwa mahali fulani..then ndo wengine wangehamasika kukwambia watakakokuwa...

Mie nimeona pub moja inafunguliwa leo huko changanikeni inaitwa "shoult" nadhani ntakuwa pale
 
Back
Top Bottom