Leo, January 19, 2026, ni siku ya Dr. Martin Luther King, Jr., lakini Rais Donald Trump kaipotezea!

Leo, January 19, 2026, ni siku ya Dr. Martin Luther King, Jr., lakini Rais Donald Trump kaipotezea!

Halafu kuna yule nyani mweusi JF humu kila siku kusema USA baby
 
Subiri mpaka aseme Trump baby. USA is bigger than Trump!😁
Unampa mtihani mgumu. Yeye anajuwa Samia ndio Tanzania; bila Samia hakuna Tanzania. It's as simple as that!

%ukirudi kwenye mada: hivi bifu la huyo jamaa na Afrika Kusini ni nini hasa hadi kuamua kujitoa katika kuhudhuria mkutano uliofanyika nchini humo karibuni?

Swala la anayoiita yeye 'genocide' kwa makaburu wa huko linajulikana, lakini hiyo haikuwa sababu ya kujitoa kwenye mkutano huo, ambao yeye ndiye atakayekuwa host wake mkutano ufuatao.

Kuna jambo haliko wazi hapo mbali ya 'prejudice' aliyo nayo kwa kwa nchi za kiafikana kwa watu weusi kijumla.

Yule Rais wa Nigeria wakati ule, Buharikiu alipotembelea WH na kudharauliwa/kudhalilishwa ilimuumiza sana rais huyo.

Naona safari hii kajitutumua kidogo, kwa shinikizo la wenye dini yao, ambao ni kundi linalomuunga mkono yeye, kuwaponda vichwa Boko Haram.
Zaidi ya hapo sijui ni nchi gani tena ya kiafrika ambayo ina mahusiano ya karibu na huyu rais.
Hata majirani zetu hapo Kaskazini, ambao ni kama mkoa wa 51 wa taifa hilo, safari hii kuko kimya sana!

Sijui kama na wao kawapandishia ushuru wa bidhaa zao!

Na hata sijui hatma ya AGOA, ambayo nadhani muda wake ulitakiwa kuongezwa, hatua hiyo imefikia wapi, maana hakuna kinachosikika upande huo.
 
Kwa ujumla hisia za kibaguzi na utukufu wa wazungu (Ulaya na Marekani) zinakuja juu kwa kasi. Kunyanyuka kwa "the far right " groups kuko wazi sana. Hata Trump kupata muhula wa pili wa uraisi ni dalili ya haya ukizingatia kashfa nyingi zinazotajwa kumuhusu yeye.
 
Back
Top Bottom