Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

Wewe tukikuachiaachia unaweza hata kusahau kichwa nyumbani ukaenda kazini na kiwiliwili tu 😂😂😂
 
Alivevumbua hiki kinywaji yuko peponi anakula bata daily 💪🏿🔥
Nilisema leo sigusi kabisa ila kufika saa 12 nikaanza kujiona sio mimi kabisa yaani nilianza hadi kumkumbuka marehem mama🤣🤣🤣aisee nimeenda kunywa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…