Leo ilikuwa zaidi ya blue monday

Shee uko wapi nije nikucheke?
 
Mbona hakuna mtori au mtori WA siku hizi UNAKUWA mwekundu jmn au macho yangu,
Mkuu nipo kibanda cha mkaa hapa tatzo mi ni dume jmn
Mtori ndio ulitangulia.. Niko Goba kwa Ndambi hapa mkuu.. Kijiwe kimeshaanza kuchangamka jongea tuu,๐Ÿคฃ
 
M'U Mmm'. Umesahau au umechanganya forumulaa! Ungeanza siku kwa kuoga chumvi ya mawe halafu huo mtori achana nao; pata kitu kitakatifu kitimoto chap' uone kama siku haitakuwa mwemere'mwemere na siku itakaa sawa kwako.
 
Utakuwa mtabiri mzuri Sana๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ