Ni vitu vya kawaida hivi lakini hasa huwa siku ya sikukuu ndo vinazidi kupendwa biriani na pilau na ikisha sikukuu ndo hapo tena ni sembe na dona na makande na hata nguo mi hununua siku za iddi tu yaani mwaka mara mmoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.