FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
-
- #41
si lazima kuandika kama hakuna hoja. hamtasahaulika mkikaa kimya
Ndugu yangu kuna mada nyingi kweli humu zimetulia kwa nini usiende huko ukatuachia hii yetu ambayo haijatulia?naunyemelea umod, ila kiukweli mada zingine hazijatulia
Ndugu yangu kuna mada nyingi kweli humu zimetulia kwa nini usiende huko ukatuachia hii yetu ambayo haijatulia?
Hapa umenena........vikao viiiiiiiiiingiiiiiiiiiii!!! muda wa kwenda MAELEZO bado kidogoHa hahaha ,
Hapa tuko faragha tunatafakari uamuzi tutakaochukua,tunaweza chukua uamuzi mgumu kama wa Fred mpendazoe.....
Hapa umenena........vikao viiiiiiiiiingiiiiiiiiiii!!! muda wa kwenda MAELEZO bado kidogo
naunyemelea umod, ila kiukweli mada zingine hazijatulia
Wachumba wamekuwa volatile....lol...Gharika tupu
Mamaa wa CCJ, sema!!Ha ha ha!wachumba wamekuwa volatile duu hii nzuri.umenikumbusha mbali.Kemia kitado cha tano na sita..
Ha ha ha!wachumba wamekuwa volatile duu hii nzuri.umenikumbusha mbali.Kemia kitado cha tano na sita..
Mhh,kumbe nawe umepiga mambo ya Acetaldehyde eeeh!
Hapa lugha itaeleweka zaidi,si mchezo...lol
GS na Ben mi sijasoma ze kemistry behind
lolz!!!
Ha hahhahaahhh,Bht
Basi tulia tuli tuli,lol
Nitulie?? c'mon Ben usije ukakosea ukaaanza kunifundisha haya mavitu ntaanza kuumwa kichwa ujue!!!
am allergic!!
GS na Ben mi sijasoma ze kemistry behind
lolz!!!
Sorry guys and fl1. Endeleeni. Ila for sure sijajua mnajadili nini hapo
Wewe ulisoma nini?