Leo Dar hapajafanyika usafi kama agizo lilivyotolewa

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
17,034
7,590
Naona baadhi ya mikoa leo wameheshimu ratiba, vipi hapa Far kuna usafi ulikofanyika kokote kwa watu kufunga kazi zao kujumuika pamoja? Tukumbuke jiji la Dar ni sehemu inayoshika chati za juu kwa kuwa chafu.
 
Ndivyo ilivyo kwa watendaji wetu walio chini ya Rais kila kitu lazima kisimamiwe na Rais, wamekuwa watu wa kusukumwa kama toroli
 
Huku kwetu Kijichi wengi hawafanyi usafi na hakuna hatua zozote wanazochukuliwa! Labda aje Magufuli mwenywee
 
Mtoa mada mbona hujielewi unatujazia Server tu na mathread yasiyo na kichwa wala miguu,usafi hadi usimamiwe?fanya usafi acha maneno.
 
Mtoa mada mbona hujielewi unatujazia Server tu na mathread yasiyo na kichwa wala miguu,usafi hadi usimamiwe?fanya usafi acha maneno.

Ukisoma vizuri na ukasoma komenti zingine utagundua wewe umeruka step ..any way, it's OK na spare me kama umekwazika.
 
Back
Top Bottom