Ujinga pro maxChadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.
Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,
Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.
View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Waridhiane na chawa wao kwanzaChadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.
Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,
Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.
View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
acha porojo na upotoshaji gentleman,Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.
Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,
Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.
View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Mliambiwa kabla ya uchaguzi aendele kukaa madarakani zifanyuke reforms mkakata, maana mna dola, mkabambikia watu Kesi nako mkashindwa, na kuwekwa wazi mapungufu yenuChadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.
Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,
Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.
View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Wanataka maridhiano bila kuwa accountable kwa yaliyotokea? Madudu na genocide waliyo commit?Chadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.
Viongozi wao wanazunguka mitaani wakiomba waridhiane wanaokota vijihabari na media uchwara kujaribu kulazimisha maridhiano.
Chadema wanasema, maridhiano ya kweli ni lazima,
Haki itendeke.
Uchaguzi urudiwe.
Samia aondoke kupisha uchaguzi.
Tume huru ya uchunguzi wa vifo vya oktoba 29.
Kesi za wafungwa wote wa kisiasa ikiwemo ya Lissu zifutwe.
Katiba Mpya.
Wauaji wa Mo29 wawajibike.
View attachment 3611566
View attachment 3611552View attachment 3611551
Marekani apige kwanza vikwzo ili wote tujue Beberu ni mmoja tu dunianiChadema ilishauri mapema kuwe na Maridhiano kabla ya uchaguzi CCM ikakataa, leo CCM wanataka kuridhiana nini na nani.