Leo Bukoba kuna 'kimbunga' cha senene!

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Wale wadudu jamii ya panzi SENENE wleo wamefurika mjini BK leo
kama una jamaa yako hapa mwambie akutunzie.Wapo wengi sana,mfuko mweupe sh 100,000 tu

Endelea kutazama TV za tanzania utajionea jinsi senene walvyoathiri bishara ya nyama

byabato
 
aisee nawatamani sana hawa wadudu, ila kipindi hiki mashamba yatakufa kwa kujaa magugu maana watu watakuwa bize kwenye kukamata senene
 
vizuri.naamin kuanzia j3 watakuwa wanauzwa dar kwenye foleni za magali hasa pale moroco.byabato, stiven byabato ndugu yako? mimi ni mtoto wa dina aliyekuwa anafanya kazi ihungo.unamsoma? over
 
Hizi ni habari njema kwa uchumi wa Bukoba! tunawasubiri DSM Kwa hamu! na kwa wakati huu tunaandaa usafiri kuelekea Bukoba ili kuwahi hiyo biashara ya msimu! ukizingatia pia wanamisenyi watakutana JUmapili pale pikolo Hotel watatukuta tumejipanga nje na Magunia ya Senene! asante waitu!
 
nasikia wameshaanza kujichana tayari, yaani mpaka hamu!
senene.jpg
 
Mkuu Bujibuji, nadhani huwa unapasapsa zile nyama! jaribu kuonja na kongoro lake, hutabanduka mkuu.

ndugu usinikumbushe, nimekula kongoro la moto asubuhi pale FOE limeniunguza mdomo ajabu... Hapa domo halitamaniki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom