Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo,mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari kake akadondosha simu.Mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,akanisonya tena msonyo wa dharau sana na nikajuta kumgusa bega kwasababu ya kibao alichonipiga.

Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu na kuondoka zangu,wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita nikapokea kwa shauku ya kujua nani,haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji.

Mimi; Hallo habari yako
Yeye; Nzuri
Mimi; nani wewe
Yeye; Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
Mimi; Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao Pale stand ya ubungo leo na ukanisonya
Yeye; Basi kaka nisamehe naomba unambie ulipo nije tuelewane
Mimi; Nitakwambia baadaye (nikakata simu na kuzima)

Swali nimwambie napatikana wapi au nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;
mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari
kake akadondosha simu;
mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,ak
anisonya tena msonyo wa dharau sana na
nikajuta kumgusa bega ka sababu ya kibao
alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu
nakuondoka zangu;
wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita
nikapokea kwa shauku ya kujua nani....
haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji..

mimi;Hallo habari yako...
yeye;Nzuri;
mimi;nani wewe ...
yeye;Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
mimi;Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao
pale stand ya ubungo leo na ukanisonya ....
yeye;Basi kaka nisamehe naomba unambie
ulipo nije tuelewane ....

Mimi;Nitakwambia baadaye ..
(nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au
nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
mbona hii stori iko kama ya mwanza buzuruga..
 
Unaonekana wazi nafsi yako ilijaa hekma na busara maana tangu mwanzo simu ya bibie ilipodondoka hukuwa na shida nayo.

Kama nia yako ilivyo mwambie ulipo halafu aje umpe tu lakini ukimkumbusha wazi kuwa sio
"Kila Mzungu ni Padre" wengine wapelelezi ili

Muda/siku nyingine awe mstaarabu sio kusonya bila kujua unaitiwa nini?
 
#kennedy ahsante kwa hekima zako....
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;
mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari
kake akadondosha simu;
mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,ak
anisonya tena msonyo wa dharau sana na
nikajuta kumgusa bega ka sababu ya kibao
alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu
nakuondoka zangu;
wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita
nikapokea kwa shauku ya kujua nani....
haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji..

mimi;Hallo habari yako...
yeye;Nzuri;
mimi;nani wewe ...
yeye;Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
mimi;Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao
pale stand ya ubungo leo na ukanisonya ....
yeye;Basi kaka nisamehe naomba unambie
ulipo nije tuelewane ....

Mimi;Nitakwambia baadaye ..
(nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au
nimpotezee ili liwe fundisho kwake?

Msamehe bure na mrudishie bila sharti lolote. Kama ni mwelewa atajuta kwa alilokufanyia na inaweza ikampa somo la maana sana maishani mwake.
 
.............mpaka muda huu fundisho ameishalipata; mwambie uliko ili aje achukue simu yake; bilashaka hawezi kurudia kufanya kama alivyokufanyia siku nyingine; kwa vile nayeye ameomba msamaha basi msamehe bure tu.
 
Mwambie ulipo na umpe cm yake . Ila kama ni wa kujifunza atajifunza mpe tu tena kiroho safi kwan inavyoonekana hukuwa na shida nayo ndio maana hata na cm yake umepokea.
 
Leo asubuhi nikiwa stand ya mabasi ya ubungo;
mdada mmoja wakati anapanda kwenye kagari
kake akadondosha simu;
mimi nikamuita ili nimweleze kilichotokea,ak
anisonya tena msonyo wa dharau sana na
nikajuta kumgusa bega ka sababu ya kibao
alichonipiga.
Alipoondoa gari nikaiokota hiyo simu
nakuondoka zangu;
wala sikuizima.

Nafika town simu hiyo ikaita
nikapokea kwa shauku ya kujua nani....
haya ndo ya kawa maongezi yetu na mpigaji..

mimi;Hallo habari yako...
yeye;Nzuri;
mimi;nani wewe ...
yeye;Mimi ndo mwenye hiyo simu ....
mimi;Na mimi ndo nilokuita na ukanizaba kibao
pale stand ya ubungo leo na ukanisonya ....
yeye;Basi kaka nisamehe naomba unambie
ulipo nije tuelewane ....

Mimi;Nitakwambia baadaye ..
(nikakata simu na kuzima)
Swali nimwambie napatikana wapi au
nimpotezee ili liwe fundisho kwake?
mwambie ulipo aje ila usimpe kwanza hakikisha nae anatenga shavu unampa nae kofi la maana halafu ndo achukue simu yake! bonge ya movie!
 
Back
Top Bottom