Leo amenishangaza sana huyu binti mdogo

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Nikiwa niko zangu kwenye ofisi yangu duka la vifaa vya ujenzi mida ya saa mbili asubuhi, kaja binti makamo kama miaka 16 hivi, kanunua box 4 za tiles, hela aliyonipa ilitakiwa nimrudishie 6000 cha kushangaza eti dogo ananiambia "keep chench!!! "

Hawa watoto wa matajiri hawa wana vibweka sana, mtoto wa form II kuacha chenchi elfu 6 sio rahisi aisee.

Usilalamike ukasema Tanzania "tuna maisha magumu" wewe sema "Nina maisha magumu sana"
 
ujinga ni mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiongeze Mkuu! Binti Anatafta Kukusogeza Karibu Yake Baada Yakuona Humchajngamkii! Sasa Usilaze Damu Kama Domo Zege! Anakupenda Sana Huyu Demu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom