Salam zenu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, Ndgu zangu nimefikia uamuzi huu kutokana na ushauri mfupi na mzito kutoka kwa kaka yangu na pia kwa kuwa naona nafsi inansuta sana.
Niseme tu numeamua kuchana na pombe kutokan na sababu zifuatazo;
1. Ni kinyume na mafundisho ya kiimani
2. Tangu nianze kunywa huu ni mwaka wa 5 sioni faida yoyote zaidi ya hasara kama za kupoteza simu, kupoteza pesa, kupoteza heshima, kupoteza baadhi wa watu wa msingi na sana sana kupoteza utu wangu.
3. Natokea familia ya kimasikin sana hivyo naona kuendelea kunywa pombe n kama naisaliti familia yangu.
4. Nimetathmini kuwa kuendelea kunywa pombe ni kuisaliti nafsi yangu, kumsaliti "my future wife" na pia kuwasaliti wanangu ambao bado wpo kiunoni mwangu( ntapoteza sifa mojawapo ya kuwa baba bora)
Kiufupi sioni faida za kuendelea kunywa pombe, naacha kunywa pombe rasmi hivyo ndgu zngu naomba mnikumbuke ktk sala.
Zaidi zaidi nipo mbioni kuachana na anasa nyingine ya kupenda wanawake, changamoto kubwa ktk hili n kuwa sijawahi kukutana na mwanamke aliye commited(naweza kumpenda kwa dhati ila akaja kuntenda baadae) hivyo nakua sipo commited to a girl i be with, ila
Naamin yupo mmoja nlieandaliwa na mungu na nitakutana nae tu naamini katika kipindi kifupi kijacho tujenge maisha.
Kwaheri pombe![]()
![]()
nilikupenda sana sana tena sana lakini mahala salama pamenipenda zaidi.
M ndiyo naanza rasmiSalam zenu wakuu,

Kuacha pombe ni rahisi....Salam zenu wakuu,

Kiwanda? Kiwanda gani?Jamani mbona unataka kwenda kinyume na Sera ya awamu ya tano "Tanzania ya viwanda"
Nafurahi kuona kuwa umefika wakati muafaka na sababu sahihi za kuacha pombe...
uonapo unakwama au vishawishi vya kuacha vinakuzidia karibu pm nitakupa mbinu za kushinda majaribu na utafanikiwa.
Ila tambua hatua uliyochukuwa ni rahisi kutamka ila ngumu kutekeleza kwa vitendo.
Endele kumwomba mungu akupe ujasiri wa kutimiza azma yako njema.
sijaiona sababu ya msingi hata moja we jamaa imani yenyewe tunafundishwa mpe pombe mwenye shida asahau shida zake unadhan Mungu hajui ok na hizo sababu nyingine nazo hazina mashiko mbona TBl wamevunja bei we unataka kuacha /unaleft where are you lefting to??