The Gentleman Pirate
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 1,476
- 949
Huna sababu ya msingi,,,kikubwa wewe ni kichwa panzi na hukua na nidhamu ya unywaji,,
Btw ukipata hamu kunywa wines,they are for gents

Na anataka kuilaumu pombe kwa failure zake sio kweli huyu yeye mwenyewe ndo mshindwa pombe haijamsababishia kushindwa malengo aliyojipangia swali je wanywaji wote wameshindwa kama yeye...............!Mkuu sema umepumzika pombe kwa muda.....
Pombe haiachwi kirahisi kama unavyodhania.....
safari lager ......serengeti lite....serengeti lager.... hizi bia nazikubali sana....
ACHA POMBE ANZA KAMARI NA UMALAYA HAPO NDIO UTAJUA KILA KITU MTU FANYA KWA MALENGO UTAFANIKIWA.LEO NAENDA KUPIGA POMBE ZANGU KAMA KAWA ILA KWENYE POMBE HUKO HUKO NI LAZIMA NIPATE CONNECTIONS ZA MICHONGO NA BIASHARA! KILA KITU KAMA HUJUI JINSI YA KUKBADIRISHA KUWA FURSA ACHA HATA KAMA UNA-BET HALAFU HUPATI HELA ACHA, UMALAYA WA KUTUMIA HELA TU ACHA ILA MIMI POMBE SIACHI NA SIFII MASKINI KAMA MAJIRANI WANGU WASIOKUNYWA POMBE ILA SIONI CHA MAANA WANACHOFANYASalam zenu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, Ndgu zangu nimefikia uamuzi huu kutokana na ushauri mfupi na mzito kutoka kwa kaka yangu na pia kwa kuwa naona nafsi inansuta sana.
Niseme tu numeamua kuchana na pombe kutokan na sababu zifuatazo;
1. Ni kinyume na mafundisho ya kiimani
2. Tangu nianze kunywa huu ni mwaka wa 5 sioni faida yoyote zaidi ya hasara kama za kupoteza simu, kupoteza pesa, kupoteza heshima, kupoteza baadhi wa watu wa msingi na sana sana kupoteza utu wangu.
3. Natokea familia ya kimasikin sana hivyo naona kuendelea kunywa pombe n kama naisaliti familia yangu.
4. Nimetathmini kuwa kuendelea kunywa pombe ni kuisaliti nafsi yangu, kumsaliti "my future wife" na pia kuwasaliti wanangu ambao bado wpo kiunoni mwangu( ntapoteza sifa mojawapo ya kuwa baba bora)
Kiufupi sioni faida za kuendelea kunywa pombe, naacha kunywa pombe rasmi hivyo ndgu zngu naomba mnikumbuke ktk sala.
Zaidi zaidi nipo mbioni kuachana na anasa nyingine ya kupenda wanawake, changamoto kubwa ktk hili n kuwa sijawahi kukutana na mwanamke aliye commited(naweza kumpenda kwa dhati ila akaja kuntenda baadae) hivyo nakua sipo commited to a girl i be with, ila
Naamin yupo mmoja nlieandaliwa na mungu na nitakutana nae tu naamini katika kipindi kifupi kijacho tujenge maisha.
Kwaheri pombe![]()
![]()
nilikupenda sana sana tena sana lakini mahala salama pamenipenda zaidi.
Nimekuja mbio nikajua kweli unaacha.Salam zenu wakuu,

Ngoja azisake kwanza siku akiziotea msianze wazingizia wachawiiNafurahi kuona kuwa umefika wakati muafaka na sababu sahihi za kuacha pombe...
uonapo unakwama au vishawishi vya kuacha vinakuzidia karibu pm nitakupa mbinu za kushinda majaribu na utafanikiwa.
Ila tambua hatua uliyochukuwa ni rahisi kutamka ila ngumu kutekeleza kwa vitendo.
Endele kumwomba mungu akupe ujasiri wa kutimiza azma yako njema.
Salam zenu wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza, Ndgu zangu nimefikia uamuzi huu kutokana na ushauri mfupi na mzito kutoka kwa kaka yangu na pia kwa kuwa naona nafsi inansuta sana.
Niseme tu numeamua kuchana na pombe kutokan na sababu zifuatazo;
1. Ni kinyume na mafundisho ya kiimani
2. Tangu nianze kunywa huu ni mwaka wa 5 sioni faida yoyote zaidi ya hasara kama za kupoteza simu, kupoteza pesa, kupoteza heshima, kupoteza baadhi wa watu wa msingi na sana sana kupoteza utu wangu.
3. Natokea familia ya kimasikin sana hivyo naona kuendelea kunywa pombe n kama naisaliti familia yangu.
4. Nimetathmini kuwa kuendelea kunywa pombe ni kuisaliti nafsi yangu, kumsaliti "my future wife" na pia kuwasaliti wanangu ambao bado wpo kiunoni mwangu( ntapoteza sifa mojawapo ya kuwa baba bora)
Kiufupi sioni faida za kuendelea kunywa pombe, naacha kunywa pombe rasmi hivyo ndgu zngu naomba mnikumbuke ktk sala.
Zaidi zaidi nipo mbioni kuachana na anasa nyingine ya kupenda wanawake, changamoto kubwa ktk hili n kuwa sijawahi kukutana na mwanamke aliye commited(naweza kumpenda kwa dhati ila akaja kuntenda baadae) hivyo nakua sipo commited to a girl i be with, ila
Naamin yupo mmoja nlieandaliwa na mungu na nitakutana nae tu naamini katika kipindi kifupi kijacho tujenge maisha.
Kwaheri pombe![]()
![]()
nilikupenda sana sana tena sana lakini mahala salama pamenipenda zaidi.
Dah....bado yuko mitungi huyo...Leo ni tarehe 4 lakini we umesema 5