Time is time
Senior Member
- Jul 17, 2013
- 180
- 36
360 Clouds leo mmenifrahisha sana kwa uchambuzi wa Gazeti flani lililohoji matumizi ya pesa za rambirambi Bukoba.
SAM:hivii zile pesa tungehimizwa kuchanga kwa ajili ya miundo mbinu ingekuwaje?
BABIE: aah...tungechanga tuuuu!!!!
SAM:Acha zako weweee...
SIMJUI: Kwani kitengo cha maafa ofisi ya waziri mkuu haina pesa?
SAM: Unajua watu walichomwa na hali halisi ya maisha wanayoishi wale wahanga ndo maana wakachanga, sasa huyu mkuu wa mkoaaaa........ Hahhaahaa
SIMJUI: Kwani tulipokuwa tunapiga chapuo kwa wananchi wachange tuliwaeleza kuwa ni za wahngaaaa miundo mbinu!?
BABIE:Lakini hii miundombinu ni kwa maslahi ya nani?
WOTE: "wananchi"
BABIESasa tatizo liko wapi?
SAM: skia baby, hivi kwanini serikali iliomba msaada kwa wasamaria?
Kwanini walitoa acount wachangiwee?
BABIE: walitaka kufanya msaada wa haraka kulingana na dharura ile..
SAM: sasa ikawaje tena pesa zielekee pengine?
SIMJUI: Au wale waliotengeneza acount feki walishajua mchezooooo nn!
WOTE: "Wanacheeeeeka
BABIE: Kwaiyo wahanga watafanyaje sasa!!
SAM: wanasubiri michango mingine ya wadau!
SIMJUI: Nani wakchanga tena!!
SAM: Kuna wimbo flani tumeuimba sana mwaka jana' hahaa
SIMJUI: Samahani jamani yawezekana mi ndo skuskia vizuri,
Hivi UINGEREZA walichanga sh ngapi vilee?
SAM :Bilion Sita.
BABIE:mbona mkuu wa mkoa katangaza bil 5.4 kama michango yoooote ya wadau
SAM: na imeshatumika 1.something,
SIMJUI: kwaiyo zimebaki 4.something?
BABIE:Ndioooo!!!!
SIMJUI: aaaah ...jamani mheshimiwa KIJUU!! Tafadhali baba...hivi huyu mtoto unaetaka kumjengea shule na barabara... Ataendaje iwapo ana njaa, kalala nje, hana nguo?
SAM: ataenda tu, maana mitoto nayo sku iz imekuwa mikorf ka nn, halafuuuu shuleni kuna amani kuliko home! Yes !!!
SIMJUI: Kwaiyooo yule MHINDI, Hakuchangia?
SAM: alichanga.
SIMJUI: Kenya je?
SAM: walipereka mabati na sement yawezekana yaliuzwa yakageuzwa pesa taslim.. Hahahaa
BABIE: Yoweri raisi wa Uganda?
SAM:Alileta...tena kaja mwenyewe na kesh kwenye begi...
SIMJUI: kwaiyo jumla ni sh ngapi?
SAM:Bilion 5.4
SIMJUI: Sam kuwa sirias ujue! Uingereza pekee si imetoa 6 bil ??
SAM: eeeh.....
BABIE: sasa inakuwaje 5.4 jamani.
SAM : Labda zimekatiwa bima!
BABIE: bimaaa!!!?
SIMJUI: Eeeeeh ....mbona sisi tumekata bima ya moto!!?
WOTE: "wanatizamanaaa.....
BABIE: hiviii...smahani hatuombei lakini tujiulize...
Ikitokea tena maafa tutapata moyo tena wa kuchangia wahanga?
SAM: Mtapata tu...
SIMJUI: me moyo ushapotea kabisa..
BABIE: hata mimi.
SAM: moyo ukipotea TUTAWAWEKEA BETRI ,mtachanga tu!!
WOTE: wanacheeeeeeeka....
SIMJUI:Jamani tukubali tukatae...mimi binafsi kw nafsi yangu sio 360, mi naona katika hiliiiii....mkuu wa mkoa ame...........
SAM: No!! Mkuu yuko sawa,
BABIE: Kivipi sam!!
SAM: Kasema hawatakosa kabisa,ila inabidi wasubiri awamu ya pili.
SIMJUI: Ipi sasa!
SAM: si ya wadau watakaojitokezaaa jamani!!!!
BABIE: kuchangia wahangaaa au miundombinu!!!
SAM: kwani mwanzo mmechangia nini!!?
WOTE: "wahangaaa"
SAM: Ndo ivo sasaaa!!! Bil 5.4 nyingine inatakiwa.
SIMJUI: Tutfikia kweli??
BABIE: Hata nusu yake tu ???
SAM: watanzania ni wakarimu bwanaa!!!
WOTE: wanacheeeeeeeeka.... Mwisho wanatupia kawimbo..
"Wachwa waisome namba eeeeeeh....ccm mbele kwa mbeleee......"