Leo 24 Feb 2014, ni Birthday yangu Jamani..

Leo 24 Feb 2014, ni Birthday yangu Jamani..

Habari wadau, leo tarehe 24 Feb, ni B'day yangu, natimiza miaka kadhaa toka nije Duniani, shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Wazazi wangu walionilea mpaka kufika hapa, pia shukrani kwa ndugu,jamaa na marafiki, Ahsanteni sana...kwa wale waliopo Mwanza wanaweza kuhudhuria kasherehe hapo TJ pub, kuanzia mishale ya saa Mbili usiku...

Umezaliwa na mtu muhimu sana maisha mwangu leo

Happy birthday tu u mkuu
 
Mungu akubariki sana katika kuhitimisha miaka kadhaa na kuongeza mingine,kila la kheri na liwe juu yako.penye kona na apanyooshe, penye mlima apafanye tambalale na pia na tumsifu yeye(Mungu)kwa wema wake
 
Back
Top Bottom