Leo 10 Novemba ni Siku ya Wachagga Duniani (World Chagga's Day)

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Leo ni Sikukuu ya Wachagga Duniani (World Chagga's Day),

Ni siku kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa kila Mwaka Siku Ya Novemba 10,

Miaka ya kabla ya Uhuru wa Tanganyika na miaka michache Baada ya Uhuru wa Tanganyika. Siku hii Ilisherehekewa Kitaifa Kilimanjaro katika Ikulu ya Mangi Mkuu wa Wachagga KDC Moshi Mjini na Katika Maeneo mengine ya Wamangi Kilimanjaro nzima.

Maadhimisho haya yaliyohudhuriwa na Watu wa Rika zote kuanzia Watoto, Wanafunzi wa Shule na Watu Mashuhuri kutoka ndani na Nje ya Kilimanjaro. Yalijumuisha maonyesho mbalimbali na Nyimbo ukiwemo Wimbo wa Jamii / Taifa La Wachagga Kilimanjaro.

Baadhi ya Wachagga wa leo wenye angalau kuanzia miaka 70 na kuendelea bado wana Kumbukumbu ya Maadhimisho haya ambayo Yalikuwa muhimu na makubwa sana Kilimanjaro.

Siku hii Ilikuwa maalum kwa ajili ya kuimarisha Mshikamano , Ushirikiano , Kujiamini na Kujitambua kwa Wachagga katika kukuza ustawi wa Wachagga Kuelekea Kutimiza Ndoto Kuu Ya Wachagga (Chagga Dream).

Sisi Wachagga wa leo, kama ilivyo kwa Jamii nyingi zenye kujitambua Duniani Tuna Haki na Wajibu wa Kuienzi siku hii muhimu kwetu itakayosaidia Kuimarisha Mshikamano , Ushirikiano , Kujiamini na Kujitambua kwa ajili ya Ustawi wa Jamii yetu ya Sasa na Vizazi vinavyokuja.

Hivyo wewe kama Mchagga Mzalendo.

Tuma Ujumbe huu kwa Mchagga yeyote, anaweza kuwa Mzazi , Ndugu , Rafiki , Jamaa au Jirani .

Ujumbe:

"(HERI YA SIKUKUU YA WACHAGGA, Siku hii muhimu sana kwetu ikarudishe Mshikamano na Upendo Baina Yetu na Kutujengea Kujiamini na Kujitambua zaidi)"

Message:

"(HAPPY CHAGGA'S DAY, May This Special Day of Ours Bring Back Our Cohesion and Love Among Us and May it Bring Confidence and Enlighten Us More)".

Kwa kutuma Ujumbe huu utakuwa umefanya Jambo Kubwa la Kizalendo Kwa Jamii yetu kwa kusambaza Upendo na Mshikamano.

Wewe pia unaweza kuisherehekea siku hii kwa Kupika Vyakula Vya Asili Ya Kilimanjaro,
Kusikiliza Nyimbo Zetu za Asili na Kuzungumza na Watu Hasa Watoto Hadithi Mbalimbali Zilizotuletea Ufahari na Ushujaa Mwingi Kilimanjaro.

NAWATAKIENI WOTE HERI YA SIKUKUU YA WACHAGGA,

Siku Hii Ikawe Ya Tofauti Sana Kwenu na Ikaache Kumbukumbu Muhimu za Upendo na Mshikamano.

HAPPY CHAGGA'S DAY TO YOU ALL.

Ahsanteni .
 
Haya mambo ya Umoja yaliwapa sana maendeleo wachaga hasa kwenye vyama vya ushirika kama vile KNCU

Kuna kiongozi mmoja alikua anaogopa sana hii Jamii kwasababu hii.
 
Chagga diseases au chaga nini..anyway hongereni wake zetu kwa sikukuu yenu..ila acheni kutuua tukiwa na mihela.

#MaendeleoHayanaChama
 
ina maana mzee Mohamed hana historia. ana historia za waislam tu.
 
10/11/2021 Sikukuu ya Wachagga Duniani

(World Chagga's Day),

Munguatosha Kambanga Msuya akishirikiana na Shabani Shekolowa Shemdoe, walifanya utafiti kwenye taasisi za afya za Uchagani kwenye vitengo vya afya ya uzazi na kugundua kwamba asilimia kubwa ya wanawake wa Kichaga wenye waume zao mijini wanabeba mimba miezi ya Disemba na kwamba wengi wa watoto wao wanazaliwa miezi ya Septemba. Watafiti hawa waligundua kuwa ndoa za Wachaga zinavunjwa nyingi kuliko Katiba inavyovunjwa. Aidha, wakishirikiana na Apaikunda Ufoo mwenye umri wa miaka 110 Uchagani; Munguatosha Kambanga Msuya na Shabani Shekolowa Shemdoe waligundua kuwa matambiko ya Kichaga hayafanikiwi mpaka yamefanyika mwezi Disemba tuu... (Mchaga akikuroga Januari – Novemba haikamati, akikuroga Disemba huponi wafwa). Kisa siyo halisia.

Na, Douglas Majwala.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom