Lengo ni kuangalia TV au?

Lengo ni kuangalia TV au?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,182
Wash'kaji eeeeeeeh!

Huku kitaa nimepanga nyumba flani hivi ambayo mabanda ya uani ni madogo sana,na hayana roof ya jipsam wa ceiling_board basi kuna joto kinoumah!

Ila vyumba vya nyumba kubwa ni classic kichizi,ni vikubwa ni self_contained,vina madirisha makubwa kinoumah,tyres za ukweli na jipsam matata usipime!Kutokana na tofauti ya bei,miye nimelazimika kukaa vibanda vya uani kutokana na kipato changu!

Kazi yangu kwa sasa nafundisha twisheni ya masomo ya civics na kiswahili huku kitaa sasa humu ndani kuna mpangaji mmoja binti wa kishua, ye' amemaliza digrii yake, akaunga master's ya maswala ya uchumi, inaonesha wazazi wake wako vizuri kiuchumi!

Alianza kunizoea taratibu,ilakinachonishangaza ni kwamba siku hizi kila akirudi kutoka chuoni lazima aje chumbani kwangu kunisimuliasimulia maswala ya chuo wakati miye sijasomea mambo hayo na mengi wala hayanihusu!

Changamoto zaidi huwa anakuja mishale ya saa moja usiku hadi saa nne,eti anadai anakuja kuangalia taarifa ya habari ya channel 10,wakati miye tv langu ni philips la chogo la kizamani inch 14 baya kichizi, ambapo channel zenyewe kuzipata fresh kwenye king'amuzi mpaka nitikise antena yangu,
room kwangu kuna joto kinoumah,na kwa kuwa sijanunua viti akija hamna pengine pa kukaa zaidi ya kwenye godoro langu la futi 3 kwa sita lililotandikwa chini.

Wakati ye' room kwake kuna hewa safi,ana lg_led flat_screen inch. 26 kali sana,na sofa set matata,na decoder yake ya azam ipo clear.Sasa
hata kama hakuna umeme lazima aje room kwangu na tekniki yake ya " seneta naomba uniazime kile kitabu cha ngoswe nikisome."Nikishampa haondoki,anaanza maswali,"hivi uliniambia kuwa we' ni kabila gani vile?

Halafu nasikia nyie wamakonde hamwezi kutofautisha " m" na "n".Vipi lini waenda mtwara nikuagize togwa ?Halafu ile picha iloipost jana nilitaka kuiweka dp ila nikaona ni bora we mwenyewe nd'o unipe.Halafu mbona profile zako zote za whatsapp, fb, twitter & insta umeweka single&free "Yaani blaaah_blaaaah nyingi!

Kwa kifupi huyu mtoto ni mweupeee! Halafu kajazia figa kama #shamsa_ford ,na sura yake matata kama ya #naj.

Sasa sijaelewa lengo lake ni kuja kuangalia tv tu au?
 
Atakuwa anataka kupakuliwa

attachment.php
 
Uandishi WA mwalimu WA uraia huu!!! Sawaa mshikaj uyo demu Ana lake jamboo mwanaaa mchane live ajikate mapema😂 lol kazi kweli kweli
 
Duuh umeingia mpaka room kwake???
 
Mkuu umeeleezea mambo ya chumbani kwa binti lakini hujagusia hata kidogo kama ulishawahi ingia chumbani kwake na ulienda kufanya nn...napata mashaka na hi story kama umetunga vile na inaonyesha wew kweli ni mwalimu mzuri wa kiswahili coz kuna viashiaria vya kutungwa kwa hii story na sio kweli vile ilivyo
 
Mwambie mshikaji, huyo demu asipige wala nini,
Amuombe awe kaka yake wa hiyari.
Teh teh teh.

Ni shiiida wallah, ujana huu kweli maji ya moto.
 
Hahahha bora umesema wewe mshikaji ukute mdada WA watu wala Hana mawazo hayo hahaha ni shida
 
Wash'kaji eeeeeeeh!

Huku kitaa nimepanga nyumba flani hivi ambayo mabanda ya uani ni madogo sana,na hayana roof ya jipsam wa ceiling_board basi kuna joto kinoumah!

Ila vyumba vya nyumba kubwa ni classic kichizi,ni vikubwa ni self_contained,vina madirisha makubwa kinoumah,tyres za ukweli na jipsam matata usipime!Kutokana na tofauti ya bei,miye nimelazimika kukaa vibanda vya uani kutokana na kipato changu!

Kazi yangu kwa sasa nafundisha twisheni ya masomo ya civics na kiswahili huku kitaa sasa humu ndani kuna mpangaji mmoja binti wa kishua, ye' amemaliza digrii yake, akaunga master's ya maswala ya uchumi, inaonesha wazazi wake wako vizuri kiuchumi!

Alianza kunizoea taratibu,ilakinachonishangaza ni kwamba siku hizi kila akirudi kutoka chuoni lazima aje chumbani kwangu kunisimuliasimulia maswala ya chuo wakati miye sijasomea mambo hayo na mengi wala hayanihusu!

Changamoto zaidi huwa anakuja mishale ya saa moja usiku hadi saa nne,eti anadai anakuja kuangalia taarifa ya habari ya channel 10,wakati miye tv langu ni philips la chogo la kizamani inch 14 baya kichizi, ambapo channel zenyewe kuzipata fresh kwenye king'amuzi mpaka nitikise antena yangu,
room kwangu kuna joto kinoumah,na kwa kuwa sijanunua viti akija hamna pengine pa kukaa zaidi ya kwenye godoro langu la futi 3 kwa sita lililotandikwa chini.

Wakati ye' room kwake kuna hewa safi,ana lg_led flat_screen inch. 26 kali sana,na sofa set matata,na decoder yake ya azam ipo clear.Sasa
hata kama hakuna umeme lazima aje room kwangu na tekniki yake ya " seneta naomba uniazime kile kitabu cha ngoswe nikisome."Nikishampa haondoki,anaanza maswali,"hivi uliniambia kuwa we' ni kabila gani vile?

Halafu nasikia nyie wamakonde hamwezi kutofautisha " m" na "n".Vipi lini waenda mtwara nikuagize togwa ?Halafu ile picha iloipost jana nilitaka kuiweka dp ila nikaona ni bora we mwenyewe nd'o unipe.Halafu mbona profile zako zote za whatsapp, fb, twitter & insta umeweka single&free "Yaani blaaah_blaaaah nyingi!

Kwa kifupi huyu mtoto ni mweupeee! Halafu kajazia figa kama #shamsa_ford ,na sura yake matata kama ya #naj.

Sasa sijaelewa lengo lake ni kuja kuangalia tv tu au?

Pumbafu kabisa, unataka kutumia vichwa vyetu kufikiria pumba zako?

Kama hayo yote ni kweli basi una shida. Hiyo makitu hua haifikiriwi na kichwa, control huwa inakuwa dominated na mwili, huitaji maneno mengi kiivyo,

Kiufupi akikaa unamsogelea, akiendelea kutulia unasogea to 0distance, kama bado kimya unainua mkono wake unauweka juu ya paja lako, akitulia unaugusa juu kama unaburuza wako juu, hapa lolote litatokea, either aendelee kusikilizia ama auguse nae mkono wako kwa style yake, kitakachoendelea utuletee kama mrejesho popompo wewe!!!!

Siku ingine usilete pumba zako humu, kwanza unatujazia server,

NB: samahani kama nimetukana au nimetumia lugha ya ukali.

Ahsante
 
Duuh umeingia mpaka room kwake???

Mkuu umeeleezea mambo ya chumbani kwa binti lakini hujagusia hata kidogo kama ulishawahi ingia chumbani kwake na ulienda kufanya nn...napata mashaka na hi story kama umetunga vile na inaonyesha wew kweli ni mwalimu mzuri wa kiswahili coz kuna viashiaria vya kutungwa kwa hii story na sio kweli vile ilivyo

ROOM YAKE NILIWAHI KUINGIA SIKU 1 TU,
SIKU YA KWANZA ALIYOKUWA ANAHAMIA COZ
VITU VYAKE MIYE ND'O NILIMSAIDIA KUVIBEBA KUTOKA KWENYE GARI KUVIINGIZA CHUMBANI KWAKE,
MAANA'KE HAKUKUWA NA MTU MWINGINE WA KUMSAIDIA.

NA HAPo NDIPO ALIPOANZA KUNIZOEA.
 
Pumbafu kabisa, unataka kutumia vichwa vyetu kufikiria pumba zako?

Kama hayo yote ni kweli basi una shida. Hiyo makitu hua haifikiriwi na kichwa, control huwa inakuwa dominated na mwili, huitaji maneno mengi kiivyo,

Kiufupi akikaa unamsogelea, akiendelea kutulia unasogea to 0distance, kama bado kimya unainua mkono wake unauweka juu ya paja lako, akitulia unaugusa juu kama unaburuza wako juu, hapa lolote litatokea, either aendelee kusikilizia ama auguse nae mkono wako kwa style yake, kitakachoendelea utuletee kama mrejesho popompo wewe!!!!

Siku ingine usilete pumba zako humu, kwanza unatujazia server,

NB: samahani kama nimetukana au nimetumia lugha ya ukali.

Ahsante

MKUU,
ILA HAYO MAMBO MENGINE YATAPELEKEA KUTOHESHIMIANA,
IKIZINGATIWA SIYE NI MAJIRANi.
 
Back
Top Bottom