Lengo langu si kukuchezea....

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Nimefanya kautafiti kadogo na kugundua ukitaka 'kumlamba' binti mrembo aliyeshika dini basi mwambie ''lengo langu si kukuchezea na mungu akipenda tuta....halafu hapa unaanzisha kikohozi cha ghafla basi utaona mtoto kainuka na kukushika bega huku akikupa pole nyiiingi,ukiona hivyo ujue kimeshaeleweka hapo.

Hii imekaaje ?
 
sasa kama huna nia nae ya kweli
na yeye umegundua ni mtu wa dini,

wewe wa nini umdanganye?

mbona wanawake wa starehe wapo wengi tu na
hawajali kuwa upo serious or not????????
 
Hawa ndio wanaokwenda kanisani kutafuta wanawake wakipata na ulokole unaishia hapo hapo (Nina ushahidi wa kutosha)

Kuna ndugu yangu mmoja aliacha kabisa mambo ya disco, lager nk akaanza kwenda kanisani kumbe kuna jamaa anamtaka akaenda kanisani kaingia na gia ya kuimba kwaya bana aaahhh akawa mlokole kweli bana kumbe anashida na yule ndugu yangu alipompata akamtia na mimba kwisha habari yake kumbe jamaa ana grocery ana pata lager kama kawa, ndugu yangu alipofikishwa home kachanganyikiwa nae church tena ndo ikawa mwisho
 
Kwa nini ufanye umalaya kwa wapendwa? C ukafanye kwa machangu na barmed kibao wanatoa hyo service! Huko ni kutafuta laana?
 
watu kama nyie ndio ambao mnaomghathibisha Mungu!! baada ya kumtia mtu moyo asonge mbele shetani anawatumia kuwarudisha nyuma!! imeandikwa kipimo upimiacho ndicho utakachopiwa!!

ole wako!!!
 
mbona wanawake wa starehe wapo wengi tu na
hawajali kuwa upo serious or not????????
hawa wa starehe hawafai kabisa!

Utakuta binti wa kilokole au mtoto wa shekhe mwenye hijab 24/7 hakubali lolote mpaka aone uko serious na unataka kuweka ndani ndio aseme yes.halafu huwezi juwa inawezekana nikaanza kwa kuonja halafu nikajikuta nimependa kabisa.
 
Ushenzi Express!Alafu unaona sifa kushea ufedhuli wako?Tafuta watu ambao wako tayari kwa utakayo bila ahadi za kizushi...acha kuharibu watoto wa watu!
 
Ushenzi Express!Alafu unaona sifa kushea ufedhuli wako?Tafuta watu ambao wako tayari kwa utakayo bila ahadi za kizushi...acha kuharibu watoto wa watu!

lizzy hasira za nini tena,siko peke yangu wako wengi wanaofanya hivyo mimi nimeamua ku-share tu.tatizo lenu mnapenda kuuliza, Una mpango gani na mimi?sasa jamaa kashakuzimia badala kumkubalia na kumpa mapenzi matamu yatakayomfanya a-stay wewe unarukia kwenye conclusion oo utanioa au unataka kunchezea?
Alafu we lizzy na ukali wako huo ntakukomesha kwa kutumia mashangazi lazima uachie tu!!!(kama hujaolewa lakini)
 
mnajua? mtu ajionavyo yuko, anadhani na wengine wapo kama yeye na wao wanaona sawa tu kwao kuwa na tabia za kishen*i. na hawajali kama haya yanaweza kuwatokea hata wao ndani ya familia zao. inachukiza sana kuharibiwa waliotulia.
 
Ehehehee tuko wengi! Mi nshakuzimia afu we unaniuliza "nikishakukubali itakuwaje? Mi sipendi kuchezewa"
 
Back
Top Bottom