Lengo la vita huwa ni nini haswa?

We mtoto kweli. Ndio vijisababu vya kumyong'onyesha mtoa mada. Ila majibu yaliyoshiba hayatolewi
 
Mfano umevaa shati lako zuri.

Akaja mtu anataka kukuvua aondoke nalo.

Kama hautapambana ulilinde basi utakubali alichukue.
 
Back
Top Bottom