Mzingo JF-Expert Member Nov 2, 2014 4,467 9,684 Mar 11, 2022 #21 We mtoto kweli. Ndio vijisababu vya kumyong'onyesha mtoa mada. Ila majibu yaliyoshiba hayatolewi
Mzingo JF-Expert Member Nov 2, 2014 4,467 9,684 Mar 11, 2022 #22 Watu wanakumbuka tu slogan ya ...tunayo.....tunayo..... Tunazo.
Kalunya JF-Expert Member Oct 5, 2021 13,324 18,479 Mar 11, 2022 #24 Donnie Charlie said: yani kama hukujua sababu ya tanzania kuivamia uganda basi upo na shida kubwa Click to expand... Ili kumrudisha obote madarakani
Donnie Charlie said: yani kama hukujua sababu ya tanzania kuivamia uganda basi upo na shida kubwa Click to expand... Ili kumrudisha obote madarakani
Stroke JF-Expert Member Feb 17, 2012 34,679 40,933 Mar 11, 2022 #25 Mfano umevaa shati lako zuri. Akaja mtu anataka kukuvua aondoke nalo. Kama hautapambana ulilinde basi utakubali alichukue.
Mfano umevaa shati lako zuri. Akaja mtu anataka kukuvua aondoke nalo. Kama hautapambana ulilinde basi utakubali alichukue.