Lengo la mume huyu ni nini?

Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Messages
9,382
Points
0
Z

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2007
9,382 0
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
 
M-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
604
Points
0
M-pesa

M-pesa

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
604 0
Ngoja wenye ndo zao zilizoota mizizi waje!
 
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,796
Points
1,225
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,796 1,225
Ngoja nimuulize mume wangu, nitarudi
 
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,199
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,199 2,000
Anataka kuachwa? anataka kujua namna ya kuishi na mume wake kwa amani? au anataka kuachana apate mgao wake? au kumroga mume wake?
 
Mamzalendo

Mamzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,663
Points
1,195
Mamzalendo

Mamzalendo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,663 1,195
Mh ndoa yangu na Arushaone bado kabisa sina uzoefu ila dada ulikosea hakuna kitu kinachosimamisha ndoa kama maombi ya kweli na sala,bila kuchoka tubu muite tena Mungu,hakika utamuona hakuna jambo gumu kwa Mungu,kwingine kote unapoteza muda,
 
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2011
Messages
3,890
Points
1,225
Likwanda

Likwanda

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2011
3,890 1,225
Lol!, Unekuwa wewe ningekushauri lakini kama ni rafiki yako mi napita tu.
 
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Messages
4,838
Points
2,000
kalou

kalou

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2009
4,838 2,000
hapo ndio mahala pa SALA na UVUMILIVU
 
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
6,796
Points
1,225
Angel Msoffe

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
6,796 1,225
Anakutega huyo, MWOMBE SANA MUNGU
 
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
3,605
Points
0
C

Concrete

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
3,605 0
''Njoo Ufanyiwe Maombi''
Boni Mwaitege,2010
 
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Messages
17,702
Points
2,000
Age
47
gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2012
17,702 2,000
kiukweli ninayo mengi ya kusema hapa ila kakua sio wewe muhusika ngoja nikae kimya.
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,720
Points
1,500
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,720 1,500
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
Dada naona na wewe mshirikina umewajuaje hao waganga.penzi likiisha limeisha hakuna cha mganga wala nini.kwa nini una imani Za waganga?mbona harusi unafunga kotini,kanisani,msikitini,.kwani ulifunga kwa mganga.mambo gani hayo,ndio maana hamfanikiwi mungu akubariki na pesa halafu unazipeleka kwa shetani wewe.Uhamie Haiti mungu amekupa mwanaume unampeleka kwa waganga tena.you deserve it na akuache ili apate mwingine.
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,020
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,020 2,000
na wewe unaamini mumeo alilogwa?.......
 
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
700
Points
250
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
700 250
Asonge mbele. Hakuna cha kurogwa wala nini! Hizo ni excuses wanawake wanatumia kujifariji kana kwamba waume zao they can't help it, ni shetani tu amempitia. Hapana! Hizi ni njia mojawapo wanaume wanatumia kujustify huu ujinga. Kila siku nenda rudi ni wao tu wanatembea nje na kuzaa na nyumba ndogo ? Mbona kinamama waorogwa kuzaa na shamba boy si wengi? Sijawahi kusikia hilo.

Miaka 12 tayari alishabadilisha majina kwenye hati? Kama inawezekana waende kubadilisha majina tena kama proof kwamba anampenda na anataka waishi pamoja. Akikataa ajue hana mtu hapo, asonge mbele asisubiri miujiza.Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
 
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Messages
3,720
Points
1,500
N

Natalia

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2011
3,720 1,500
Asonge mbele. Hakuna cha kurogwa wala nini! Hizo ni excuses wanawake wanatumia kujifariji kana kwamba waume zao they can't help it, ni shetani tu amempitia. Hapana! Hizi ni njia mojawapo wanaume wanatumia kujustify huu ujinga. Kila siku nenda rudi ni wao tu wanatembea nje na kuzaa na nyumba ndogo ? Mbona kinamama waorogwa kuzaa na shamba boy si wengi? Sijawahi kusikia hilo.

Miaka 12 tayari alishabadilisha majina kwenye hati? Kama inawezekana waende kubadilisha majina tena kama proof kwamba anampenda na anataka waishi pamoja. Akikataa ajue hana mtu hapo, asonge mbele asisubiri miujiza.
It is true.penzi limeisha siamini mambo ya waganga
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
48,069
Points
2,000
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
48,069 2,000
Kosa lako bi dada ni moja tu, ndoa ulifunga mbele za Mungu na ulifungishwa kwa uwezo wa Mungu, lakini suluhisho la matatizo ya ndoa yako umeenda kulitafuta kwa mganga wa kienyeji mwenye macho mawili, nguru mbili na matatizo kama wewe.
Rudi mwanzo kabisa ulipofungia ndoa yako...
 
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
46,115
Points
2,000
Ruttashobolwa

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
46,115 2,000
Mume wako umemroga wewe mwenyewe kwa kumwendea kwa fundi ukizani una mtibu kumbe ulikuwa una mharibu!

Kwa nini uishi maisha ya kuchukua maneno kwa marafiki na kuyaweka kwenye ndoa yako?
Kwa nini usinge kwenda kanisani?
Sitoshangaa kwani hata kumuendea kwa fundi ulipewa ushauri na rafiki yako, so bad!

Bado sijajua ulifanya uchunguzi gani kugundua mumeo amerogwa
Ni vyema ukawa na tabia ya kukaa chini na kuongea na mumeo au kumuomba mungu akusaidie kuliko kwenda kwa waganga!

Kaa chini na mumeo muongee na muyamalize kuna uwezekano bado ana kupenda!
Nimeish na mume wangu miaka 12 hadi sasa, tunawatoto 2,Nimegundua kuwa miaka 2 nyuma alinisaliti na kuzaa nje ya ndoa na alipohisi nitagundua akahofu nitavunja ndoa na kugawana mali hivyo akabadilisha majina ya mali zetu zote na kuandika jina la mwanangu wa kiume,Sasa amebadilika hataki mahusiano na mimi lkn nimechunguza na kugundua mwanamke aliyezaa naye alimroga ili anichukie,Habari hz nilipewa na rafiki wa mwanamke hy na bila kusita nilimweleza mume wangu, na kiukweli nilitafuta mtu wa kuondoa uchawi huo (sio tabia yng ila ilibidi), akaendelea kunionyesha chuki na kuniambia hama mapenzi tn na mimi, nikawaita washenga akanigeuka na kusema ananipenda sn,hakuna llt ht tendo la ndoa hanipi nikawaeleza washenga wanipe go ahead niende mbele kudai talaka,Kaniruka tena anadai eti ananipenda sana na hayuko tayari kuniacha, JE WALIMWENGU MUME HUYU ANAMATATIZO GANI, NINI LENGO LAKE NA NICHUKUE HATUA GANI? Ni kisa cha rafiki yangu anahtaji ushauri wenu
 
Forum statistics

Threads 1,294,738
Members 498,025
Posts 31,186,621
Top