Lengo la kunywa pombe

Lengo la kunywa pombe

Mkuu binafsi sijaona starehe inayonipa faraja zaidi katika maisha kama pombe.
 
We better not forget Tanzania ya viwanda, and don't drink water drink beer, so Tanzania need more brewery!!
 
Mkuu pombe ni tamu sana usiache tafadhari UOTE="Remote, post: 18385478, member: 44238"]nipeni mbinu za kuacha pombe najuuuta kujifunza[/QUOTE]
Mk
 
Nipeni namna ya kuiacha kabisa hii kitu!!maana utulivu umekuwa 0
 
La kuongezeaaa....

Kuna Bar zina pombe Tamuu balaa...

Yaani ukishagundua bar flani ina pombe tamuu..hata bar iwe wapi utaifuata tuu.....though Bia ni ile ile ya kilimanjaro!

Mimi kile kiosk nakunywaga bia sitaacha..
Ah ah ah ah ah
Bapa za miccasa tamu sana
 
Kipo kitabu kimeandikwa ''MY DEAR BOTTLE'',

Mwandishi kaeleza zaidi hasara zilizowapata watumiaji wa pombe,

Hakuna bingwa wa pombe,wengi wamepoteza malengo yao katika kuendekeza unywaji wa pombe.
 
Kipo kitabu kimeandikwa ''MY DEAR BOTTLE'',

Mwandishi kaeleza zaidi hasara zilizowapata watumiaji wa pombe,

Hakuna bingwa wa pombe,wengi wamepoteza malengo yao katika kuendekeza unywaji wa pombe.
ngoja tuache za kwenye bottle au?
 
Pombe ni lishe,kinywaji na chakula kinachopendwa sana na mamilioni ya wanadamu duniani kote.

Mtu anapokunywa pombe,humsahaurisha (kwa muda) na matatizo, msongo wa mawazo, madeni, shida, unyonge/upweke na kujiona yeye yupo juu ya mbingu na nchi.Mlevi/mnywaji hujiona yeye ni yeye, yeye ni raia namba moja hapa duniani. Wengi hupenda kunywa pombe nyakati za jioni.Kwa hapa Tanzania, pombe hunywewa zaidi ya soda.

Kuna ambao wakinywa pombe,huanza kuongea kiingereza mpaka kichina...na kuna ambao hugeuka mabondia!

Pombe humkumbusha mtu mambo mengi ya zamani na huleta hisia kali. Pombe huleta ujasiri.

Japokuwa pombe huleta hasara kiuchumi, imekuwa n vigumu sana watu kuacha/kupunguza pombe. Na mara nyingi wanywaji wengi hubajetia pombe toka kwenye mishahara (vipato) vyao,hata kama mshahara/kipato kiduchu namna gani.

Kwe wanaotumia pombe, unafikiri nn lengo la kunywa pombe?

Nawasilisha.
Pombe ni upumbavu tu wa kidunia, pombe imewekwa makusudi ili watu wasijitambue. Ukitaka kufanya mambo makubwa hapa duniani inabidi ubaki kwenye uhalisia wako na kwa bahati mbaya sana pombe inaondoa huo uhalisia japokuwa unaweza ukawa sio mtumiaji wa pombe na bado ukawa hujitambui lakini lengo la pombe ni kukufanya uwe mtumwa wa mind yako yaani kutawaliwa na hisia zako.
 
Inauma sana....kuna watu na viatu jaman sasa kuwafanyia ivyo ndio kwao burdan...ila mungu yupo na atatenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom