Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Kama CCM mna ota kuwa mtaitawala nchi hii milele, kwa kweli mtakuwa mnaota ndoto za mchana aka Day Dreams na nawaomba sana msijidanganye kuwa JP ameuwa au anauwa upinzani zaidi anauimarisha upinzani kwa kasi ya ajabu.
Nia, lengo na madhumuni ya kuipapatua CCM lipo palepale na ni kama linazaliwa kila kukicha ,wataoapkufa watakufa ila 2020 haipo mbali, Zanzibar tayari CCM imeshaondolewa hilo halina mjadala, kinachoendelezwa ni ule ugumu wa kutoka roho haswa roho yako inapokuwa mbaya ,lazima utaleta makeke na kurusha madaluga, ukweli CCM imepigwa na chini.
Huku Tanganyika CCM imepenya kwenye tundu la sindano na pumua pumua yake imeenda kuvamia nyumba za masikini na kuvunja na si utekelezaji bali ni hasira, nchi inakusanya kodi kwa tamaa kuwa itawaokoa na kuwaweka katika hali isiyohitaji misaada, sasa jiulize hizo njia za kodi zikifungiwa na kufungwa ?
Kama ni kuabudu basi CCM muabuduni Lubuva kwani amewapitishaa njia ya shetani na mtaendelea nayo hio hadi 2020,ushindi wa Magufuli unatiliwa shaka sijui waliojiandikisha ni wangapi kura zikijumlishwa za Lowassa na magufuli zinatokea ngapi linganisha utaona kitu kisichowezekana kimetokezwa ni Lubuva na wenzake anaowajua yeye, uzuri ni kuwa maamuzi ya tume yaheshimiwe na ndipo tulipo ,goli la mkono tumeliona, sheria imeachwa kufuata mkondo wake sasa tunampa heshima Magufuli as our president, vipi ameshinda hilo si tatizo .
Tume huru ndio itakayosema kweli ila sio hii ya Lubuva na Jecha.