lengo la EFD

May 23, 2014
48
20
hivi naomba kujua hizi machine za electronic fiscal devise zina lengo gani kwa wafanyabiashara au nikutukata mapato mpaka faida tunazopata?
 
Wala haisumbui Mkuu, mbona jamaa yanatuandikia hela pungufu? Unalipa 1 m unapewa risiti ya 125,000/=! Wizi mtupu!
 
Back
Top Bottom