sina uhakika kwamba mimi ndo sijaelewa hiyo lugha uliyotumia, au ni wewe haujapangilia vizuri point zako!!"When I was a child, I spoke like a child, I thought like a child, I reasoned like a child. When I became a man, I gave up childish ways." (1 Corinthians 13:11).
Apparently there's existence of a substantial, intelligent, educated atheist/agnostic community, and by the hundreds of mutually contradictory opinions about the gods believed in (i.e., religions). But the evidence for any supernatural beings is clearly inadequate to explain the widespread and profound belief in so many particular ones. Scientific and philosophical argument has, it seems, convinced no one and changed very few minds on the matter.
it cannot explain the ubiquitous belief in gods across almost every culture on Earth because no consensus has developed supporting belief in any of them even after several thousand years of research and debate
Mbona tumuona na kushuhudia matukio mengi tu ya kulazimisha watu wawe waislam tena hata kuwaua maelfu kwa maelfu...Boko haram ndio kazi waliyo tumwa na kiongozi wenu ambaye sitamtaja kwa sababu maalum..._,hilo unalionaje.?
Dini ni mapokeo..na binadamu ndo wamecreate...zinaweza zikawa na maana na zinaweza pia zikawa hazina maana yoyote. Dini ingeleta maana Kama binadamu wote tungekuwa na imani moja tunaamini kitu kimoja. Sasa dini zipo lukuki kila moja na imani yake na sheria yake. Tuache ipi na tufate ipi
Tena mtoa mada anapoint sana. Huo ndio mtazamo wake.
..anataka majibu
Na kunibeza kote kule, ndio umekuja kutoa mawazo yaliyo ndani ya box kama hayo? mie naona inabidi ufikirie kiupana zaidii
Kwanza ukumbuke kuwa neno "dini" limetokana na lugha ya Kiarabu, kwa ukaribu kabisa wa kulifafanua Kiswahili, linamaanisha "njia".
Kwa mafunzo ya Uislam dini (njia) ya kufika kwa (ayatakayo) Allah (Mwenyeezi Mungu) ni Uislam (kujisalimisha kwa Allah (Mwenyeezi Mungu) mmoja.
Katika Uislam tunajifunza kuwa hakuna kulazimishana katika dini (njia). Wewe una yako nami nina yangu. Isipokuwa kuna kueleweshana tu na kuelimishana kwa apendae kujuwa.
sorry nilianza kuandika kwenye simu, baadaye pc, so haikua na mlolongo, ..dini zipo nyingi na sababu zake kwa nini wanadamu wanaamini katika dini na mungu, hazijitoshelezi, ns hii inatokana na uwepo wa aina za dini na miungu mingi sana inayoabudiwa ulimwenguni. mfano wako wanaosema mwanadamu anaamini dini kwasababu anaogopa kufa na kuadhibiwa motoni lakini wako wanaofuata dini wakiamini wakifa hakuna maisha tena. maisha ni hayahaya wayaonayo... na sababu nyingine nyingi... wako wanaosema imewekwa kumcontrol mwanadamu, lakini hapa napo yako maswali ya kupinga hoja hiyo ambayo ni mengi..nk.Sijaelewa chochote...nehi yaani
Hofu ya nini ? Jewajua wako watu kwenye dini si kwasababu wanaogopa, bali wanafurahia maisha hayoStreight question streight unswer; lengo la dini ni kimtia hofu binadamu
je darasa lako hilo, unadhani nimekubaliana nalo?
naona unatafuta ushindi, unahisi kinacho-matter ni ushindi?