Lemutuz kavuta jiko, mtoto mkali yaani Kim Kardashian huyu hapa kabisa

Lemutuz pamoja na kuwa na baba mwenye uwezo alipoteza muda wake ughaibuni na kurejea akiwa hana lolote wala lolote. Ama kweli kuna kipindi simba anaweza kuzaa mbwa! Kwa umri huu na mtoto mdogo ambaye ni umri wa binti yake atapata nini zaidi ya presha? Somo ni kwamba kuna haja ya kusoma alama za nyakati.
''KUNA HAJA YA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI"
Nimekuelewa.
 
Lemutuz pamoja na kuwa na baba mwenye uwezo alipoteza muda wake ughaibuni na kurejea akiwa hana lolote wala lolote. Ama kweli kuna kipindi simba anaweza kuzaa mbwa! Kwa umri huu na mtoto mdogo ambaye ni umri wa binti yake atapata nini zaidi ya presha? Somo ni kwamba kuna haja ya kusoma alama za nyakati.
Huyo binti si sawa na wanawe aliomsusia mkewe Marekani
 
Kuteleza sio kuanguka, baada ya Lemutuz mara kadhaa kula hela za michango ya harusi yake kwa bahati mbaya hatimaye gwiji la mitandao ya kijamii ukanda huu wa maziwa makuu limefanikiwa kuvuta jiko, mtoto guu guu, super mtindi yaani Kardashian huyu hapa.
Ndoa hiyo iliyofanyika downtown Bongo ilikuwa ya watu wachache sana ambayo ilifuatiwa na sherehe fupi , baadae maharusi waliingia ndani ya Noah ya Lemutuz kuelekea hotelini kwenye fungate.
Bibi harusi inatajwa pamoja na mambo mengine inawezekana akachukua nafasi ya juu ya utendaji katika moja ya makampuni makubwa yanayomilikiwa na gwiji hilo, huku wadadisi wa mambo wakidai huenda akawa mkurugenzi mtendaji wa chombo kikubwa cha habari hapa nchini yaani BLOGU YA WANANCHI.
View attachment 1771598View attachment 1771599

Pita hapa chini kutoa neno la pongezi kwa maharusi hawa.
Hongera sana diaspora Lemutuz
 
Huyo binti si sawa na wanawe aliomsusia mkewe Marekani
Sikubaliani na motto yako kuwa mapenzi ulaya Afrika biashara. Nadhani hujawahi kuishi huko ukaona Afrika tulivyo na mapenzi ya kweli kuliko hao wanafiki weupe wanaoitana honey asubuhi na usiku wakachinjana. Wachunguze au uliza waliowahi kuishi kule watakueleza Mwanangu.
 
Sikubaliani na mot yako kuwa mapenzi ulaya Afrika biashara. Nadhani hujawahi kuishi huko ukaona Afrika tulivyo na mapenzi ya kweli kuliko hao wanafiki weupe wanaoitana honey asubuhi na usiku wakachinjana. Wachunguze au uliza waliowahi kuishi kule watakueleza Mwanangu.
Aliyekuwa mke wake sio wa mbele ni mnyakyusa, walipoachana yy kabaki huko
 
Sikubaliani na mot yako kuwa mapenzi ulaya Afrika biashara. Nadhani hujawahi kuishi huko ukaona Afrika tulivyo na mapenzi ya kweli kuliko hao wanafiki weupe wanaoitana honey asubuhi na usiku wakachinjana. Wachunguze au uliza waliowahi kuishi kule watakueleza Mwanangu.
Mkuu sijaishi wapi Marekani na Ulaya kwangu ni kama Kibaha au Bagamoyo, hakuna mtu wa kunieleza sababu nimeishi huko miaka dahali na hata kesho nikitaka kwenda naenda, kuuana sio ishu kule hakuna kudanganyana ,kama mtu anakupenda au kakuchoka anakuambia tu sio huku akina naomba hela ya vocha wanakudanganya kwa kukita baby eti ndio mapenzi. Narudia tena mapnzi mamtoni huku biashara au njaa kali tu.
 
Back
Top Bottom