LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 20,006
- 37,915
Umoja wa watanzania wanaotumia mitandao ya kijamii nchini Tanzania, umemuomba Mfalme wa Mitandao ya Kijamii Tanzania, Ndugu. William John Samwel Malecela a.k.a Lemutuz aingilie kati ugomvi mkali ulioibuka mtandaoni kati ya Mange Kimambi na Linda Bezuidenhot a.k.a Bedui ili kuepusha machafuko zaidi.
Haya sasa Lemutuz unasubiriwa utoe tamko lako. Wewe ndio Nyerere wa Social Network Tanzania. Hekima zako zinahitajika sana kaka.
Haya sasa Lemutuz unasubiriwa utoe tamko lako. Wewe ndio Nyerere wa Social Network Tanzania. Hekima zako zinahitajika sana kaka.