Lembeli: CCM si Mama yangu

Nachukia sana mapenzi ya chama kwenye keyboard,
Lets be real guys.
 
Le Mutuz unajua hakuna mwenye hati miliki ya ccm,sasa kama mwanachama anaona kuna mambo ya kipimbavu yanaendelea ya chama dawa si kuhama isipokuwa kusema ukweli dhidi ya unafiki,upuuzi na kadhia zote ambazo hazijengi chama.Humo ccm kuna wanafiki kama kina Lukuvi,Wasira,Mwigulu na wengine wengi tu ambao kinyesi cha Mwenyekiti au Katibu mkuu wao watakiita KEKI mchana kweupe wa jua la saa 6.Kwa hvo Lembeli anawaonyesha kwamba atapambana nao hao wanafiki akiwa ndani ya Chama ili wenye akili wajue na kutambua ukweli kati yake na wanafiki.Hata wewe uki-differ na Mzee Chigwiyemici dawa si kumkana kama yeye si babako na ukaamua kwenda kutafuta baba mwingine,itakubidi kukomaa na kumwonyesha alipokosea
 
- Kaka NEC ndio Mkutano wa mwisho wa CCM wa kuamua msimamo wa CCM kama Lembeli hautaki ajiondoe mara moja kwenye chama ambachi hakikidhi mahitaji yake!1

Le Mutuz

Wewe Baharia wa zamani Tanzania hii ya leo si ile ya kina Mzee wetu JSM.Kwa hiyo hata wana ccm(wenye akili tu) wanajua kwanini ccm inakomaa na kura za wazi.Hakuna hata chembe ya siri kwamba zikipigwa kura za siri hao wanaotaka kura za wazi watakuwa against msimamo wa chama chao ccm.Mtu kama Wasira hawezi kuthubutu kunena kama Lembeli coz anajua JK amemwokoa kutoka kwenye dhiki ya kutisha,lakini nakuhakikishia kama kura ni ya siri Wasira atakuwa against msimamo wa ccm wa serikali 2.Kwa bahati mbaya sana namjua huyo Wasira kuliko hata anavyojijua mwenyewe
 
Hayo maneno ya kwenye red nimeyapenda sana, CCM wamewekewa ukomo wa kufikiri, kamati kuu ishafikiri kwa niaba yao. Uhuru katika bunge unakuwepo mjumbe anapojadili kwa uwazi na kupiga kura kwa siri na si vinginevyo.
 
mimi binafsi namkubali sana huyu mzee ni mzalendo na kama wasukuma wote wangekuwa kama huyu mzee nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana kwa kweli
 
Every existence has a reason. Kama Lembeli amesukumwa na hali yoyote kusema asemayo anatekeleza tu sentensi ya kwanza kwamba kila kitu kinakuwapo kwa makusudi fulani.
 
mimi binafsi namkubali sana huyu mzee ni mzalendo na kama wasukuma wote wangekuwa kama huyu mzee nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana kwa kweli

Hata huku Bariadi hawa wabunge wetu wamechoka mwingine ana stroke mwingine kisukali CHADEMA tunawakaribisha mtukomboe tumechoka.
 
Every existence has a reason. Kama Lembeli amesukumwa na hali yoyote kusema asemayo anatekeleza tu sentensi ya kwanza kwamba kila kitu kinakuwapo kwa makusudi fulani.
 
- Kaka baba yako simjui ila one thing habari za kura ya siri na wazi sio ishu tena imeisha tuwe progressive tuongelee mapya ya kura za siri na wazi yamepitwa na wakati sasa!! na Kidumu chama cha mapinduzi

Le Mutuz
 
kwa Tanganyika ccm wanafunika kombe mwanaharamu apite,lakini ukweli unabakia pale pale! wakitaka amani katiba ya zanzibar ya 2010 ifutwe ndiyo hapo watanganyika wataacha kudai nchi yao!
 
- Kaka baba yako simjui ila one thing habari za kura ya siri na wazi sio ishu tena imeisha tuwe progressive tuongelee mapya ya kura za siri na wazi yamepitwa na wakati sasa!! na Kidumu chama cha mapinduzi

Le Mutuz

Hukijui kile kibabu kiitwacho J.Malecela kilikuwa PM wetu lakini Nyerere mwishoni alikipiga chini kwa sababu alitaka kuuza nchi yetu kwa waarabu na alislimu na kuitwa Jumanne
 
Safi sana Jembe,nuru lazima iwekwe juu ya kiango
 
- Kaka baba yako simjui ila one thing habari za kura ya siri na wazi sio ishu tena imeisha tuwe progressive tuongelee mapya ya kura za siri na wazi yamepitwa na wakati sasa!! na Kidumu chama cha mapinduzi

Le Mutuz

nakumbuka ushauri wako kwa CHADEMA kipindi Zito ukitetea kuwa sio dhambi watu kutofautiana mawazo.sasa nimeelewa kuwa kutofautiana cdm sawa,ccm sio sawa
 
Kwa msimamo huo,si ajabu akaunga mkono mswada wa kuruhusu mashoga.
 
- TOO BAD Katiba inatengezwa kwa mujibu wa sheria zilizopo sasa ambazo zipo wazi kwamba chama kinachotawala ndio chenye nafasi kubwa ya kuandika Sheria na sio vinginevyo!!

Le Mutuz

Duh hii ndo akili yako kaka yangu W. J. Malecela au ya kuambiwa? Kama ya kuambiwa basi fuata ushauri wa mwenyekiti wako kwamba uchanganye na ya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…