Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Nilimuonya Manyerere Jackton aache kuchafua watu kwa tuhuma za uongo.Ngoja atakuja hapa kujitetea na kujisafisha kwa style atakayoona inafaa
Nilimuonya Manyerere Jackton aache kuchafua watu kwa tuhuma za uongo.Ngoja atakuja hapa kujitetea na kujisafisha kwa style atakayoona inafaa
ben saanane wewe ni mchumia tumbo tu unashnda chadema unakula kwa membe dtail zako zpo ata chadema wameshakushtukia huna ubavu au gaut za kumshauri mwandshi makn kama manyerere nan hajui kua ishu ya kuuza katavi national park kwa kampun ambayo nyalandu na lembeli na yalandu ni board of directors mpango ulkua umefchwa akauibua manyerere akna nyalandu na lembeli wakafeli? wewe uzalendo wako upo wapi si bora ya kna zto kulko wewe njaa mbaya sana...membe+Nyalandu=Lembeli wote hao walkua wachumia tumbo kwa mengi hawawezi kutengana nyalandu na lembeli....now days lembeli kawa fsadi kahongwa pesa na nyalandu na wenye vtalu..lembeli anasafr kwenda maonyesho ya utalii I.e Germany anashnda hotelini wiki mbili bila kaz fsadi mkubwa...alafu leo ben saanane unamtetea lembeli acha ufsad na njaa ben
Mtoa mada hebu waulize mods mbona jina la chanzo cha habari yako wamekifuta? Hivi kuna tatizo gani kutaja chanzo hicho wakati kipo kihalali na kinapatikana kwenye meza za magazeti. Kuna tatizo hapa JF ambalo mimi silielewi ambapo baadhi ya magazeti hata ukiyataja tu katika habari yako au uchangiaji wako hayaandikwi majina yake. Mojawapo lianaanza na M na kuishia na O (Ambalo ndilo nadhani ndio chanzo cha uzi wako hata mimi kuliandika lote nimeacha kwasababu nitakuwa napoteza nguvu na muda bure) na jingine nadhani ni mama yake na hilo nililotaja herufi zake linaanza na MW na kuishia na SI. Hili limefungiwa kwa muda usiojulikana lakini nalo sababu ya lenyewe kutoandikwa JF siijui labda wamepewa maagizo maalumu na serikali wasiyataje. Watueleimishe kwanini wanafanya hivyo!Mbunge wa Kahama,mkoani Shinyanga,James Lembeli amewashtaki wamiliki wa magazeti matatu pamoja na Wahariri wake kwa madai ya kukashifiwa. Kashfa husika ni kuhusu yeye na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu kudaiwa kupanga kuhamisha uendeshaji wa Mbuga ya Wanyama ya Katavi kutoka TANAPA na kuikabidhi kwa Kampuni ya kigeni ya APN.
Nyaraka za kimahakama zinaonyesha kuwa Lembeli amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam. Nyaraka husika zinawataja wadaiwa kuwa ni pamoja ya magazeti ya Fahamu, Raia Tanzania na Jamhuri.Pia,Wahariri wa magazeti hayo matatu ni Wadaiwa. Kama hiyo haitoshi, Manyerere Jackton (Jamhuri), Kundaeli Kwamaya(Fahamu) na Joseph Petro nao ni Wadaiwa katika kesi hiyo.
Katika kesi hiyo,Lembeli anataka kuombwa radhi na kulipwa fidia kwa madai ya kudhalilishwa na kuvunjiwa hadhi yake.Kesi husika bado haijapangiwa Hakimu wa kuisikiliza.
Chanzo: ----- la tarehe 22-28/5/2014, ukurasa wa 3
Mtoa mada hebu waulize mods mbona jina la chanzo cha habari yako wamekifuta? Hivi kuna tatizo gani kutaja chanzo hicho wakati kipo kihalali na kinapatikana kwenye meza za magazeti. Kuna tatizo hapa JF ambalo mimi silielewi ambapo baadhi ya magazeti hata ukiyataja tu katika habari yako au uchangiaji wako hayaandikwi majina yake. Mojawapo lianaanza na M na kuishia na O (Ambalo ndilo nadhani ndio chanzo cha uzi wako hata mimi kuliandika lote nimeacha kwasababu nitakuwa napoteza nguvu na muda bure) na jingine nadhani ni mama yake na hilo nililotaja herufi zake linaanza na MW na kuishia na SI. Hili limefungiwa kwa muda usiojulikana lakini nalo sababu ya lenyewe kutoandikwa JF siijui labda wamepewa maagizo maalumu na serikali wasiyataje. Watueleimishe kwanini wanafanya hivyo!
Mbona lipo kihalali na linapatikana mitaani kwanini JF wanalinyanyapaa? Kuna neno ambalo ni la kiswahili sanifu na sio tusi ambalo aliambiwa yule mkubwa fulani aliyemrisha vyombo vya dola kupiga raia ukiliandika linakataa. Neno lenyewe ni Mpmbvu ambapo likiandikwa kwa usahihi linakataa wakati ni neno sanifu na sio tusi. Nafikiri kuna tatizo la uelewa na ushabidiki wa kisiasa kwa wahusika miongoni mwa mods. Kuna maneno mengine mazito zaidi ya hayo yanaandikwa humu lakini huwa hayaondolewi sijui kwanini wayaondoe majina ya magazeti na hilo neno aliloambiwa mkubwa yule mjinga. Maneno kama Mhuni, mjinga, mpmbvu, mwendawazimu, zuzu, mlevi, nk alikuwa anyatumia sana baba wa taifa kuelezea tabia mbali mbali za viongozi wasiokuwa na sifa za uongozi thabiti. Mods: Wake up!Hata mimi nikiandika m..wio inakataa,-----
Nilimuonya Manyerere Jackton aache kuchafua watu kwa tuhuma za uongo.Ngoja atakuja hapa kujitetea na kujisafisha kwa style atakayoona inafaa
Hayo magezeti ni ya ukawa ameliacha pia lile la toilet pepa Tanzania daima
habari zinazoandikwa na manyerere huwa zimefanyiwa uchunguzi wa kina
Nilimuonya Manyerere Jackton aache kuchafua watu kwa tuhuma za uongo.Ngoja atakuja hapa kujitetea na kujisafisha kwa style atakayoona inafaa
Salaam kwa mnafiki Ben Sanane